Waziri Bashungwa tukueleweje? Unakuwa Mkali kwa Waraka unaodaiwa Feki wa TEC, ila hujaonekana hata ukiwa na Uchungu kwa Kujeruhiwa kwa Fr. Dkt. Kitima
Kwahiyo ndiyo kusema kuwa Kwako Wewe Waraka huo Feki wa TEC ni bora kuliko Tukio baya alilofanyiwa Fr.Dkt. Kitima?
Wakuu nmekutana na hili sijui gazeti sijui kipeperushi kikielezea kuwa Rais wa TEC amesema ana imani na jeshi la polisi na amewasailiana na IGP Wambura kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Katibu wa TEC Padre charles Kitima wanadai ni kutokana na mahojiano aliyoyafanya na Dw, Je ni kweli?