Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio...
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka.
Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au...
FEDHA ZA MAUZAUZA
1.
Tulikuwa kijiweni, tukizogoa zogoa,
Umbeya tukipigieni, tukiyapisha masaa,
Bia tamu tukinyweni, pia soka kichambua,
Fedha za mauzauza, menitia ulemavu.
2.
Mara mtu akapita, shanga nyingi zi shingoni,
Kati yetu akamwita, machache kiulizweni,
Akaja bila kusita, karibu...
Mchezo wa kukataa mchele kutoka Marekani ni zaidi ya mchezo maarufu wa kombolela unaochezwa na watoto. Mchezo wa kitoto haukeshi. Sote tunafahamu kuwa msaada ni kitu kinachotolewa kwa hisani (goodwill) bila mpokeaji kuhitaji kumpa masharti mtoaji. Taarifa za Bashe (Waziri wa Kilimo) kuukataa...
Rais amekiri kuwa kuna wizi wa fedha za Serikali. Fedha zote zinatunzwa Wizara ya Fedha. Zinatolewa Wizara ya Fedha kwa utaratibu uliokubaliki Waziri wa fedha akiwa na taarifa. Fedha zinaenda TAMISEMI Waziri wa TAMISEMI lazima awe na taarifa.
Kwanini Mamlaka ya uteuzi isiwaajibishe Waziri...
Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+.
Nikimaliza ntawapa mrejesho.
Rais Samia amesema mikoa mingi yenye mazao ya biashara maendeleo yao yanaonekana ukipita barabarani. Rais Samia amesema hali ni tofauti kwa mikoa ya kusini ambako wanalima mazao ya korosho, ufuta na mbaazi.
Amesema mikoa hii wakipata hela ni ngoma kichochoro mpaka kichochoro, ametaka wapelekewe...
Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi.
Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
Mtu anayetafuta pesa ataishia kupata pesa ya kula siku moja au mbili kisha atakuwa mtumwa daima. Yaani kila akitaka kufanya jambo lazima ahangahikie pesa ya hilo jambo kisha atalifanya kwa taabu na kurudi tena kuhangahikia fedha .
Itakuwa ni cycle ya maisha yake mpaka uzee au kifo
No rest time...
Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno.
Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala.
Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine.
Hapo fedha...
Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu..
Imekua...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amepongeza jitihada za taasisi zote za sekta ya fedha nchini kuhimili vihatarishi vyote vilivyojitokeza na kufanya sekta hiyo kuwa imara na himilivu kwa kuongeza ubunifu na uwezo wa kubadilika kuendana na mazingira...
Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani.
Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis.
Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi.
Kampuni ya...
Na. Eva Valerian na Peter Haule, WF, Victoria Falls, Zimbabwe
Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani.
Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na...
Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya ovyo ovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara.
Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only.
Haya maduka yapo kwaajili ya...
MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa fedha walizopewa.
US$ 1 = shilingi 2,545 Tshs
BINGWA:
US$ 4 million
Shilingi bilioni 10 na milioni...
Na Eva Valerian na Asia Singano
Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ili kuboresha huduma za fedha na kuleta maendeleo ya kiuchumi hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendelezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.