Habar za muda huu!
Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta.
Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...
Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :-
inavyoundwa
watumishi wake
Kwa mswada uliopelekwa bungeni na inavyopendekezwa inalekea suala la namna inavyoundwa na kupatikana watumishi wake yakapata majibu.
Lakini bado lipo suala la nani ataipa fedha za...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
UTANGULIZI
TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
Imeibainika kuwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani wanaowachakulia fedha za mfuko wa TASAF wahusika wa makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Vipofu, wazee nk. ambao hawawezi kufuata wenyewe fedha za mfuko huo, wamekuwa wakiibiwa kwa kupewa fedha Pungufu au kutopewa kabisa...
Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma.
1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka
2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya
3. Fedha Za mafunzo Haya...
Katika masuala ya Uhuru , fedha au uchumi ndio kitakufanya kuwa Huru. Nje na hapo utakuwa mtumwa iwe kwenye ndoa au popote Kama hauna kitu haiwezi kuwa na maamuzi katika maisha yako na hii Ni kwa wote
Hatua hiyo imefanywa na Kitengo Maalum cha Kimataifa cha Udhibiti wa Fedha Haramu (FATF) kwa kuziweka Nchi 4 za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda, Sudan Kusini na DR-Congo) ambazo zimeahidi kuongeza hatua kali katika kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi na Kuenea kwa Silaha...
Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani.
Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa...
Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala.
Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 Katika fedha hizo Tsh trilioni 6.31 zitatumika kulipa deni la taifa...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani.
Dkt. Nchemba aliyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ)...
Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue!
1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness
2. Mnaficha ugonjwa
Yatajulikana maana huko...
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.
Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa...
• Siku ukikamatwa kwa kosa la kuzurura mjini hapo mtetezi wako ni Mungu na fedha tu, vinginevyo utapewa hata kesi ya mauaji.
• Siku ukishikwa na ugonjwa barabara hapo mtetezi wako ni Mungu na pesa tu.
• Siku ukifukuzwa kazi ndipo utajua kuwa mtetezi wako ni pesa na Mungu tu.
• Siku...
Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo.
Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimeitaka serikali kutenga bajeti ili kukamilisha maboma ya zanahati, vyumba vya madarasa, nyumba za walimu ambazo zimejengwa kwa nguvu za wananchi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, Shemsa Mohammed wakati akiongea kwa nyakati tofauti na...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.
Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.