Elimu kuhusu uwekezaji kwenye masoko ya fedha na mitaji Tanzania

Joined
Aug 26, 2022
Posts
64
Reaction score
124
MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI.

Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:

📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa
📌 Hatifungani (bonds)
📌 Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA FUND na M-WEKEZA.

Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kuelewa fursa hizi muhimu za uwekezaji.

➡️ Tafadhali fatilia kila somo, changia mawazo na uliza maswali bila woga.

Kwa pamoja tutajifunza hatua kwa hatua hadi kuelewa kwa undani kabisa namna bora ya kuwekeza na kufikia uhuru wa kifedha. đź’ˇ

Karibuni sana đź«´
 
Tupo pamoja. Elimu hii ni muhim hasa kwa vijana na wapenda maendeleo. Elimu za darasani nyingi ni za kukariri. Tunahitaji mawazo mbadala kubadilisha maisha yetu.
 
Hii elimu inapuuzea ila ndio elimu muhimu sana kwa sasa. Wengi wanatapanya pesa bila kuwa na uelewa lakini kama wangewekeza kwenye UTT, Bonds n.k ingewasaidia sana kulinda pesa zao.

Mkuu nipo pamoja na wewe tupe elimu JF inawategemea watu kama wewe mzidi kuipa uhai
 
Kweli kaka, tuendelee kufatilia masomo — naamini kufikia somo la mwisho kila mmoja atakuwa ameelewa na ameanza kuwekeza.
 
MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI.

Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:

📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa
📌 Hatifungani (bonds)
📌 Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA FUND na M-WEKEZA.

Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kuelewa fursa hizi muhimu za uwekezaji.

➡️ Tafadhali fatilia kila somo, changia mawazo na uliza maswali bila woga.

Kwa pamoja tutajifunza hatua kwa hatua hadi kuelewa kwa undani kabisa namna bora ya kuwekeza na kufikia uhuru wa kifedha. đź’ˇ

Karibuni sana đź«´habari. Naomba kujifunza kuhusu UTT AMIS ,,asante
 
Nanukuu "Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji" naona mkuu umekuwa kimya sana
 
Masomo yanaendelea kiongozi, nimeshafikia somo la tatu — ambapo nimeangazia uwekezaji kwenye soko la hisa.
 
Back
Top Bottom