Viongozi wa wachezaji wanaonekana wamekula pesaKiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache.
Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
Timu zenyewe huwa zinakopa hela TFF. Nakumbuka enzi za kocha Zahera, Yanga walikopa sana hela kutoka TFF kwa ajili ya kushiriki michuano ya CAFKiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache.
Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii