Kuna wakati niliwahi kuja na uzi hapa nikimlalamikia Waziri wa Fedha kutwa na usiku anasaini mikataba ya kuomba mikopo ilihali kwenye data base yake ya kuhusu watu wanao omba leseni za biashara mbalimbali wamewasilisha Maombi ili waweze kukata leseni na kufanya biashara.
Binafsi nilikuwa mhanga...
Kwa mujibu wa Forbes, Michael Jackson (MJ) ameingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 285 akiwatangulia nyota wengine kama Prince, Whitney Houston na Bob Marley
MJ alifariki mwaka 2009 akiwa na miaka 50 kwa kilichoelezwa kuwa ni kuzidisha Dawa za Kumsaidia kupunguza Maumivu.
===
Being dead isn’t the gig it...
Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa.
Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu.
Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
A now-sacked Ghanaian government minister has admitted that he accepted a cash gift of $40,000 (£33,000) "in order not to offend the sensibility of a potential wealthy investor", according to an official report into the incident.
Charles Adu Boahen was dismissed as a minister last November...
Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa ya Takwimu za Madeni (IDS) kuhusu Madeni ya Serikali za Afrika, imeonesha kati ya mwaka 2015 hadi 2023, Tanzania imetumia wastani wa 4.26% hadi 10.1% ya Fedha za Mikopo katika kulipa Deni la Nje.
Ripoti imeonesha Nchi 30 za Afrika zinatumia Fedha nyingi...
Matukio ya Rushwa za Ngono na Fedha bado yanaendelea kuwa kikwazo cha upatikanaji wa Haki katika huduma ikiwemo kuwakosesha Watumishi wenye Sifa fursa za kupata Uhamisho wa Idara au Vituo vya Kazi kutokana na kukataa au kutoridhia masharti ya kutoa Rushwa.
Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, linaendelea katika siku ya pili na ya mwisho Jumanne Oktoba 24, 2023.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua majadiliano kwa kushukuru jinsi Mitandao ya...
Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu.
Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi.
Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!!
Je familia zao wanazihudumia vipi?
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, leo Jumatatu Oktoba 23, 2023 ambapo amesisitiza matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya faida ya Nchi...
Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860.
Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe?
Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi?
Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya...
Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga
Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru.
Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana.
Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu?
Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana!
Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.
Toa Maoni...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA
"Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.