TFF kabidhi fedha za CRDB kwa Yanga kisha dai madeni Yako. Mnaiaibisha Bank

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili.

TFF imekosea sana tena sana kuzuia fedha za ubingwa kwakuwa TFF Ina njia nyingi nyingine za kudai madeni yake kutoka kwenye vilabu vyake.

Kwanini CRDB hailipi bingwa wa mashindano ya CRDB Moja kwa moja kwenye account ya Bingwa?

TFF Hawa hawana weledi, wanaendeshwa na upepo wa Simba na Yanga. Tabia hii sio rafiki kwa wadhamini wao.

Kihasibu mapato yote lazima yasome kwenye accounts za taasisi kisha ndio yatoke kwenda kufanya malipo, na hapo ndio reconciliation inaweza kufanyika kwa urahisi.
 
TFF Hawa hawana weledi, wanaendeshwa na upepo wa Simba na Yanga.
Ngoja nimuite mwenye cpa yake hapa financial services atuoe muongoza wa kihasibu taratibu zinakuwaje kwenye ishu kama hii
 
TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili.

TFF imekosea sana tena sana kuzuia fedha za ubingwa kwakuwa TFF Ina njia nyingi nyingine za kudai madeni yake kutoka kwenye vilabu vyake.

Kwanini CRDB hailipi bingwa wa mashindano ya CRDB Moja kwa moja kwenye account ya Bingwa?

TFF Hawa hawana weledi, wanaendeshwa na upepo wa Simba na Yanga. Tabia hii sio rafiki kwa wadhamini wao.
Zamani nilikuwa nasikia watu wakisema 'he is a figure head' kumbe ni mtu ambaye yupo yupo tu yaani ni kama sanamu

Wakiwa wengi 'figure heads'
 
Simba na Yanga inawapopoa TFF macho, masikio na akili kwa wakati mmoja kwanini? Kihasibu Kuna kitu kinaitwa "reconciliation" , maana yake vitabu vya bank na mapato na matumizi lazima vibalance. Fedha zaote lazima zipite bank ndio zitoke kwa matumizi kama vile kulipia gharama za TFF na wachezaji. Huwezi kufanya malipo juu kwa juu kabla fedha haijaingia kwenye accounts za taasisi.

TFF walipaswa kuwapa Yanga fedha zao kwanza ziingie kwenye accounts zao kisha wazitoe wenyewe kwenda TFF. Weledi hapo uko wapi? Empty heads.
 
Hujui taratibu za fedha, bora ukae kimya.
 
TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili.
Hoja ni hela au waamuzi? Maana ukiona mtu anashika hili, mara lile mara hili ujue hana hoja
 
TTF are Figure heads, if not, a bunch of crooks,
Conclusion, they have to the office

TFF wamekosa weledi inatakiwa waondoke maofisini wameboronga vya kutosha na tumewavumilia vya kutosha hasa kuhusu waamuzi wa mpira ambao huwa tunaukodolea macho
 
Kwa
Simba na Yanga inawapopoa TFF macho, masikio na akili kwa wakati mmoja kwanini? Kihasibu Kuna kitu kinaitwa "reconciliation" , maana yake vitabu vya bank na mapato na matumizi lazima vibalance. Fedha zaote lazima zipite bank ndio zitoke kwa matumizi kama vile kulipia gharama za TFF na wachezaji. Huwezi kufanya malipo juu kwa juu kabla fedha haijaingia kwenye accounts za taasisi.

TFF walipaswa kuwapa Yanga fedha zao kwanza ziingie kwenye accounts zao kisha wazitoe wenyewe kwenda TFF. Weledi hapo uko wapi? Empty heads.
Wanapaswa kushtakiwa pia Kwa ukosefu wa ulipaji Kodi maana hizo pesa zingeingia Kwenye acc ya yanga basi wange katwa Kodi lakini kitendo cha tff kakaa nazo means wamezuia ukatwaji wa Kodi hapo
 
TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili.

TFF imekosea sana tena sana kuzuia fedha za ubingwa kwakuwa TFF Ina njia nyingi nyingine za kudai madeni yake kutoka kwenye vilabu vyake.

Kwanini CRDB hailipi bingwa wa mashindano ya CRDB Moja kwa moja kwenye account ya Bingwa?

TFF Hawa hawana weledi, wanaendeshwa na upepo wa Simba na Yanga. Tabia hii sio rafiki kwa wadhamini wao.

Kihasibu mapato yote lazima yasome kwenye accounts za taasisi kisha ndio yatoke kwenda kufanya malipo, na hapo ndio reconciliation inaweza kufanyika kwa urahisi.
Sio kweli, fatilia
 
Hujui taratibu za fedha, bora ukae kimya.
The bottom line ni TFF wangelipa fedha ya ubingwa kama ilivyokusudiwa mengine ndo yangefuata badala ya kutumia ubabe katika kukusanya madeni. Hii inaaibisha wafanyabiashara wanadhamini mashindano. Unadhani damage kiasi Gani CRDB imepata kwa kadhia hii tu?
 
Kwenye biashara yote hayo ni misiba kwa wafanyabiashara wanaowekeza kwenye ligi na timu mojamoja. Timu inatumia fedha nyingi kwa wachezaji na maandalizi ya mechi halafu mwamuzi anaboronga mechi kwa maagizo ya wajumbe wa TFF na bodi ya ligi. Huo si upuuzi pia kwenye michezo wa mpira?
Hoja ni hela au waamuzi? Maana ukiona mtu anashika hili, mara lile mara hili ujue hana hoja
 
Hakuna. Yaani una hela yangu, halafu nimepokea hela yako ndogo sehemu nyingine, unataka nikupe then uanze kunisumbua?
Kwani songesha ukiweka hela iliyo overdue wanafanyaje? Kata na endelea kudai salio la deni
Kwakuwa songesha wanajua kuwa sio utaratibu ya kifedha kukata juu kwa juu ndio maana wanakwambia kabla namna watakavyoidai na kuipata hela yao ili wewe mkopaji uamue kama unakopa au unaacha.

Kama utaratibu ungekuwa huu wa juu kwa juu IMF na WB wangeshatunyang'anya nchi yetu kurudisha madeni yao. TFF sio taasisi ya kihuni ya mtaani ya mikopo umiza.
 
Si ni Yanga wenyewe walikuwa wakiitumia barua kuwa fedha zao walizoshinda zitumike kulipia fees za wachezaji wa kigeni
 
Kwa

Wanapaswa kushtakiwa pia Kwa ukosefu wa ulipaji Kodi maana hizo pesa zingeingia Kwenye acc ya yanga basi wange katwa Kodi lakini kitendo cha tff kakaa nazo means wamezuia ukatwaji wa Kodi hapo
Yalikuwa ni maombi ya Yanga ikatwe juu kwa juu
 
Si ni Yanga wenyewe walikuwa wakiitumia barua kuwa fedha zao walizoshinda zitumike kulipia fees za wachezaji wa kigeni
Hizo barua zipo wapi au unawasikiliza TFF hujui kuwa wametoa lile tamko kumridhisha Mdhamini.
 
Yani nina pesa Yako na ninakudai alafu nikukabidhi ndo nianze kukudai? Utakua ni ujinga WA Hali ya juu
Huo ni uhuni wa mtaani ambao hauwezi kufanywa na taasisi kubwa kama TFF. Taasisi haiwezi kutumia fedha zake juu kwa juu kama hivyo. Unaweza kukamata mali ya mdaiwa sugu tu kwa kibali maalumu kutoka mahakamani.
 
Back
Top Bottom