Ntahakikisha thamani ya fedha ya Tanzania inakua chini na dhaifu

Ntahakikisha thamani ya fedha ya Tanzania inakua chini na dhaifu

IMG_20250519_170934.jpg
 
Nchi za China na Japan wakati wote wamekua wakihakikisha thamani ya fedha yao inakua chini ni moja ya sababu wamekua dominant kwenye viwanda
Ni aibu sana kujilinganisha Tanzania na China na Japani
China na Japan wameshusha ili watu wengi waagize bidhaa kwao hadi toothpick hadi toilet paper. Hapo wanapiga hela sana
Nchi yako Tanzania ina viwanda gani vya kuuza bidhaa nje ya nchi kama Marekani, Japan na China?
Kushuka kwa shiling ni pigo kubwa sana ni kiashiria cha uchumi dhaifu
 
Nchi za China na Japan wakati wote wamekua wakihakikisha thamani ya fedha yao inakua chini ni moja ya sababu wamekua dominant kwenye viwanda
Kuna tofauti kubwa sana. China na Japan wana vipuli vyao wenyewe, lakini viwanda vya Tanzania vinategemea vipuli kutoka nje ya nchi.
 
Moja ya sababu nchi ya Uingereza kutokuwa na viwanda ni kwa sababu pound ilikuwa na imekuwa na nguvu kubwa na hii imeongeza gharama za uzalishaji viwandani na mpaka leo Uingereza imeshindwa kukompete kwenye soko la dunia
 
Kuna tofauti kubwa sana. China na Japan wana vipuli vyao wenyewe, lakini viwanda vya Tanzania vinategemea vipuli kutoka nje ya nchi.
Ndo mwanzo huo, mwanzo huwaga ni mkubwa
Ili mwekezaji aje Tanzania ni vizuri ukamuhakikishia kuwa gharama za uzalishaji zitakuwa chini sio kwa maneno bali vitendo kupitia sera
 
Jambo huwa haliwezekani mpaka linapowezekana.
Mhe. Rais umeanza kuongea uhalisia, sio yale mambo yako ya sayari na nyota!
 
Back
Top Bottom