Ntahakikisha thamani ya fedha ya Tanzania inakua chini na dhaifu

Jambo huwa haliwezekani mpaka linapowezekana.
Mhe. Rais umeanza kuongea uhalisia, sio yale mambo yako ya sayari na nyota!
Yale ya sayari na nyota nayo pia yanauhalisia kwa sahivi hamuwezi nielewa ila mda ukifika mtanielewa

Watu walidhani naishia pale kwenye sayari na nyota hapana ndo kwanza niko hatua ya kwanza na yako mengi ntaongelea
 
Sasa mkuu unagombea kwa chama kipi au mgombea wa kujitegemea?
 
Back
Top Bottom