Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe?
Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kushoto) akielekea kukagua moja ya jengo kati ya majengo matatu ya upasuaji, afya ya uzazi na mahabara yanayojengwa na Tasaf katika Kituo cha Afya Budushi wilayani Kwimba. Picha na Saada...
Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi.
Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linazindua taarifa ya mwaka 2023/2024 na Mpango Mkakati wa miaka 10 utakaoanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2024/2025.
Omary Issa aeleza sababu kuwajengea uwezo watumishi Tanesco
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...
Hapa Jamii forums, hapo zamani tumeshajadili sana kuhusu misamaha ya kodi ya kila namna na jinsi inavyotuumiza. Leo hii sitaki kuchanganya mjadala wa kodi aina nyingi, nashauri hapa misamha ya kodi sehemu mbili tu ifutwe:
1) Wabunge wote wafutiwe misamaha yote ya kodi.
2) Taasisi za kidini...
Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada..
Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku tukiipata kwa njia ya msaada.
Kwa mujibu wa senza ya 2022, idadi ya wanawake ni milioni 56. Robo yake ni...
Utangulizi:
Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii.
Kwakuwa Mwenyezi...
Fedha anazotumia Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson kwa ajili ya kampeni ya kuzunguka dunia nzima ili achaguliwe Urais wa Spika wa Bunge la Dunia anazitoa wapi.
Ni muda mrefu sasa Spika yuko nje ya nchi na jopo lake la wapambe kumuombea kura nchi mbalimbali kwa gharama za nani?
.
Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo.
Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
Asasi za Kiraia (AZAKI) katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, zinategemea ufadhili wa ndani na nje ili kutekeleza miradi na mipango. Vipaumbele vya wafadhili vimekuwa vikibadilika mara kawa mara, hali iliyopelekea upungufu wa ufadhili kwenye baadhi ya sekta. Ushindani miongoni mwa...
Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?
Mwandishi: MwlRCT
1. Utangulizi:
Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi.
Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu...
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza.
Ahadi hiyo...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na hatua za kundoa tozo kwenye huduma ya kutuma miamala ya fedha kidijitali.
Kuondolewa kwa too hil...
Kama Waarabu wamepewa Bandari zote, ina maana bomba la mafuta kotoka Uganda linaloishia Tanga Port ambayo itakuwa chini ya Waarabu au mali ya Waarabu, fedha watachukuwa Waarabu?
Ina maana tutagawana na Waarabu faida ya mafuta? Ikumbukwe bomba la kutoka Uganda lita pump > 240 000 barrels kwa...
Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia...
Nina za moto moto kuhusu mambo makubwa matatu;
1. Mwamba kuwagomea kabisa na sasa Kiongozi Mstaafu kaombwa akutane naye ili amshawishi asaini na abakie.
2. Wapiga Gitaa watatu wa DLY Congo Music Band kupewa adhabu kimya kimya baada ya kudai chao.
3. Fedha kuisha huku Tajiri na Matajiri...
Kwa kuzingatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2021/22, ni wazi kuwa rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu bado ni matatizo makubwa katika matumizi ya fedha za umma. WAJIBU, kwa kuzingatia ripoti hiyo, imegundua miamala mingi yenye viashiria vya...
Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli.
Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.