Habarini waungwana!
Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza.
Kipindi waziri wa fedha anaiwasilisha hotuba ya bajeti mwaka 2023/2024 katika kipengele 'IV. Tathimini ya utekelezaji wa bajeti ya serikari kwa mwaka 2022/23 alieleza serikali ilitaraji kukusanya trilion 41.48 kutoka vyanzo vya ndani na...
"Naipongeza Wizara ya Fedha na Mipango, Waziri wa Fedha na Mipango na Timu nzima ya Wizara ya Fedha na Mipango, Kamati ya Bajeti, NBS na CAG kwa namna ambavyo wametuletea taarifa muhimu kutuwezesha kujadili hotuba ya bajeti ya mwaka 2023-2024" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa...
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati...
Kipindi Luteni Mstaafu, Yusufu Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, kulikuwa na omba omba maarufu, nafikiri aliitwa Matonya, ambaye kila aliporudishwa kwao Dodoma, baada ya muda, alirudi tena jijini.
Inasemekana, hakuwa maskini kama ambavyo ingeweza kudhaniwa. Alikuwa anamiliki mali...
Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao.
Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari...
Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu.
Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
Kwenye mapendekezo ya bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 baadhi ya tozo kama ile tozo ya kwenye miamala ambayo ni kilio Cha wanyonge wengi na Ile Kodi ya 'store' iliyopelekea mgomo Kariakoo zitaondolewa kabisa. Ukiachana na hizo Kodi, tozo na ushuru mbalimbali wa bidhaa zitapungua kabisa...
Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano ya siri na viongozi wa uhalifu.
Balozi Mkubwa wa Afrika anatoa huduma ya kutakatisha pesa chafu...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amehoji sababu za Serikali kutoingiza kwenye Muswada wa Sheria ya Fedha maelekezo ya Rais Samia kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) ya kutofungia Biashara kwa kigezo cha madeni ya nyuma licha ya Waziri wa Fedha kutaja jambo hilo kama pendekezo kwenye Bajeti Kuu...
MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini akiwasilisha taarifa ya bajeti kuhusu hali ya Uchumi kwa mwaka 2022; Mpango wa maendeleo ya Taifa kwa...
Watu 11 wakiwemo wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kusafirisha nyara za serikali na kutakatisha kiasi cha shilingi bilioni 3.2.
Habari JF,
Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi.
Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha)
Baada ya hapo anza na hili kundi la Bodaboda ambao ni wepesi sana kuleta marejesho kwa wakati.
iko hivi, boda boda are...
Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3)
Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Tanzania imefanikiwa kupunguza kiwango cha umasikini uliokithiri kutoka asilimia...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kuna baadhi ya Wanasiasa wanasema kodi zinatozwa nchini ni za Rais wa Tanzania...
Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao.
Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo.
Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.