fifa

  1. Mashabiki tugome kuingia viwanjani mechi za timu za taifa

    Wizara ya Michezo na TFF wameshirikiana kutudharau wapenzi wa mpira wa miguu kwa kufanya mambo ya kijinga na kipuuzi kabisa. Kwanza wamegoma kuweka bayana kwanini mchezo ulisogezwa mbele kwa masaa mawili huku wakijitetea kwa hoja ya kitoto na kipuuzi "tulifanya hivyo kwa nia njema". Hiyo nia...
  2. Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  3. J

    Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

    Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa. Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
  4. Ni ligi ya 'klabu bwenyenye' - elewa ni kwa nini uefa na fifa zinapinga super league

    Wadau mbalimbali wa mpira wa miguu barani Ulaya wanazidi kupinga kuanzishwa kwa Super League. FIFA na UEFA zimekosoa vilabu vyote 12 kwa kuweka maslahi ya pesa mbele kuliko mpira na heshima ya mashabiki.
  5. Baada ya kudhulumiwa hela zake, Sven Vandbroek (Kishingo) aishitaki Timu ya Simba FIFA

    Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100. Ngoja tuone ukweli ni upi.
  6. 2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031? Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya. Uganda imetupa dili la bomba la...
  7. FIFA yaifungia Chad katika michuano ya kimataifa

    Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limeifungia Chad kushiriki michuano ama michezo yoyote ya kandanda ulimwenguni la baada ya serikali ya nchi hiyo kuingilia kati namna ambavyo shirikisho la soka nchini humo linavyofanya kazi. Hatua hii imekuja baada ya waziri wa vijana na michezo kuvunja...
  8. FIFA Regional Development Office inaugurated in Kigali

    The long-term development of football in east Africa received a substantial boost with the inauguration of a new FIFA Regional Development Office in Kigali, Rwanda, following a signature and opening ceremony that included FIFA President Gianni Infantino, the Minister of Foreign Affairs and...
  9. Adhabu ya FIFA kwa Simba na Kichuya: Namuona Kichuya kwenye mechi ya Azam dhidi ya Namungo. Adhabu ile ilifutwa ?

    Kutokana na sakata la usajili wenye utata wa mchezaji Shiza Kichuya kutoka Misri kwenda Simba, tumeambiwa hapa juzi tu kwamba Simba ilipigwa faini ya takriban milion miatatu na mchezaji tajwa kufungiwa miezi sita. Lakini namuona Shiza Kichuya kwenye mechi ya Namungo dhidi ya Azam hapa ameingia...
  10. Mambo 10 ya Kukera/Kukereketa yaliyopo katika Klabu ya Simba ambayo TFF, CAF na FIFA iyatolee macho makali

    Mambo 10 ya Msingi yanayokera nliyoyaona katika team ya Simba 1. Nasisitiza TFF ifikirie kuongeza dakika matches za Simba. Najisikia vibaya sana kuona Simba inacheza mpira huu wa kwenye game, mpira dont touch my shoes, mpira burger, pizza, sambusa, biriani, juices, maziwa,asali e.t.c Inapangiwa...
  11. Latest Fifa rankings: Kenya Harambee stars moves up, while Uganda and Tanzania’s retained positions

    The latest classification has been released six months after the previous due to the coronavirus pandemic which forced suspension of soccer actions Kenya moved up by a position while Uganda and Tanzania’s retained positions in the latest Fifa rankings. Harambee Stars now ranked106 from the...
  12. Je, PC yangu itafaa kwajili ya FIFA 2021?

    Mzigo ushatoka wa FIFA 2021 tayari upo sokoni Nina play station ila nimeiacha nyumbani kwajili ya watoto, kwa mwezi ujao nitakuwa na likizo ya kikazi ntasafiri kwenda kijijini (kuna umeme) sitaweza kuja nayo Napenda kucheza game ya mpira ya FIFA so nataka kununua CD ya FIFA 2021 nadhani...
  13. FIFA kuidhinisha programu ya kuripoti upangaji wa matokeo ya mechi kabla ya mchezo husika

    Bodi ya uongozaji mpira wa miguu duniani FIFA imeidhinisha programu nukushi (App) iliyotengenezwa mahususi ili kusaidia wachezaji kuripoti vitendo vya kupanga matokeo kabla ya mchezo. Programu yenye kitufe chekundu, ambayo inamilikiwa na umoja wa wachezaji duniani (FIFPRO) itasambazwa kwa...
  14. Ushabiki wa siasa katika taasisi za soka: Wakati umewadia sasa kwa FIFA kushusha rungu lake kwa vilabu vya Yanga na Simba

    Wewe ni mwekezaji tuu, na unahisa sizizozidi 49% hivyo Simba haiwezi kuwa Mali yako completely na kufanya utakalo bila ridhaa ya wengine. Nani kakutuma umpigie kampeni Magufuli katika shughuli rasmi za club bila ridhaa ya wanachama? Club yetu haina itikadi ya kisiasa wala kidini hivyo ukome na...
  15. MO Dewji akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa FIFA Gianni Infantino, amkabidhi jezi ya Simba SC

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika. Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
  16. NEC ndiye FIFA, TFF na refarii wa mchezo wa ligi ya uchaguzi tumwache afanye kazi yake

    Wakuu bila kumumunya maneno kuna baadhi ya wana JamiiForums hasa wa vyama vya upinzani wana uelewa mdogo sana. Uwezo wao wa ku reason mambo ni mdogo sana. Wametyuni akili zao kwenye kushabikia siasa bila kukielewa kile wanacho kishabikia. Wamekariri katiba na baadhi ya vifungu vya sheria ili...
  17. Rais wa FIFA amewakingia kifua

    Wachezaji wanaovua jezi zao kwenye nia ya kupinga ubaguzi wanastahili pongezi na sio adhabu, kwa mujibu wa Rais wa shirikisho la soka Duniani , Gianni Infantino. Kumbuka kwenye kanuni za soka mchezaji akivua jezi ni kosa na anadhibiwa kwa kadi ya njano.
  18. Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu sheria namba tatu ya FIFA inayohusu idadi ya Wachezaji Uwanjani

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inachezwa na timu mbili, kila moja ikiwa na Wachezaji wasiozidi 11, mmoja wao ni Kipa. Mechi haiwezi kuanza ikiwa timu yoyote ina Wachezaji chini ya 7 Kiwango cha juu cha kubadili Wachezaji wakati wa mechi kwenye...
  19. Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Mbili ya FIFA inayohusu Mpira wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mpira unatakiwa uwe wa Mviringo wenye Mzingo/Mzunguko wa Sentimita 68 hadi 70 (Mpira Namba 5), ukitengenezwa kwa ngozi au malighafi yoyote inayofaa Mwanzo wa mechi, mpira unatakiwa uwe na uzito usiopungua Gram 410 na...
  20. Sheria za Soka za FIFA: Ifahamu Sheria namba Moja ya FIFA inayohusu Uwanja wa Soka

    Kwa mujibu wa Sheria hizo za FIFA (Shirikisho la Soka Duniani) mwaka 2015/16, mechi inaweza kuchezwa kwenye Uwanja wenye nyasi asilia au za kutengeneza ila nyasi za kutengenza lazima ziwe za rangi ya Kijani Uwanja wa kuchezea lazima uwe wa umbo la Msatili ukiwa umewekewa alama za mipaka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…