Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni.
Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo.
Usumbufu wa watumiaji wengine wa njia umekithiri sana.
Hatuoni Jeshi la usalama barabarani likifanya kazi yake ktk hili...
Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa...
Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali katika eneo hilo.
Foleni hiyo inatokana utaratibu wa askari wakati wa ukaguzi wa magari hayo mpaka...
Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa.
Haiingii akilini kwa upana wa kujenga barabara uliopo kati ya Gongo la Mboto...
Siku hizi kuna foleni ya kutisha maeneo mengi ya Dar. Yaani Hali ni tete
Jinsi ya kupunguza makali
Kwanza: Beba vitu vya Kula, bites zisikosekane kwenye gari au kama ni wa public transport kwenye pochi au kibegi Beba misosi na maji. Juzi kidogo nizimie nnavyopenda kula, masaa mawili tumesimama...
Leo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
===
Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza.
Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
Wakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia Kawe, Kazi tunayo kwa kweli
Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea vifo. Mfano jana ilitokea ajali na kusababisha vifo pale pale darajani mlimani. Gari lilifeli break...
Wakuu kumekucha salama?
Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma.
Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha...
Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
Leo nikapanda bolt kutoka airport, kabla hatujaanza safari dereva akaingia kituo cha mafuta cha O-Lake airport, wakati wa kutoka naona traffic anaongoza magari na mengine anayakataa kukunja, kumbe anaongoza magari yanayoenda kujaza gesi kituo kwasababu yana kawaida ya kuziba barabara ya Mwl...
Kumekucha Wadau.
Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki.
Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu.
Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.