Wakuu,
Nauliza hivi: Je, viongozi wetu, watendaji na wakuu wa hitifaki za viongozi wanajua kuwa wananchi nao wana mipango, mahitaji na malengo yao yanayotegemea na kubanwa na MUDA (WAKATI)?? Je, wanajua kwamba misafara ya viongozi inawatia wananchi hasara?
Iweje wananchi wanasimamishwa kwenye...
Wakuu hivi ile foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta mpaka Bunju huwa inasababishwa na nini? Maana huwa ni kubwa na haiendi. Unaweza kutumia masaa matano kujongea kidogokidigo lakini ukifika mbele karibu na Bunju hukuti kilichosababisha foleni na barabara ni nyeupe kabisa.
Kwa anayejua...
Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa.
Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala.
Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili. Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara...
Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu.
Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
Foleni!! Foleni!
Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana.
Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS
Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
Mataa yaliundwa ili kuongeza usalama kwenye makutano ya barabara. Lakini yana athari moja mbaya. Yanaleta foleni mijini.
Utafiti umefanyika umeonyesha kuwa roundabouts ni salama kuliko mataa na pia hazileti foleni.
Mfano hai: Zamani Mbeya kulikuwaga hakuna foleni. Lakini tokea waweke mataa...
Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji.
Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
Hii ni kwa wale ambao
1. Wako single
Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli??
Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi?
2. Mlio kwenye mahusiano
Mnaona kama mahusiano yanasomeka kweli au mauza uza?
Unaona unaolewa soon au hamna kitu?
Ushafumania...
Habari wananzengo! Kama bado hujafika Mlandizi kutokea Chalinze, Kuna kamba 1 matata kuanzia kwa kiipofu kuelekea Misugusugu mpk Kibaha.
Mm binafsi nimekwama hapa MAILIN35, Gari hazitembei Dk 30 sasa. Anaweza kuchepuka kuhamia Barabara ya zmn ni heri kwake!
Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa!
Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite!
Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu.
Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari
Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
Anonymous
Thread
clouds
foleni
kupokea
magari
mbovu
mikocheni
njia
shule
utaratibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.