foleni

  1. BigTall

    Abiria wanapanga foleni lakini bado changamoto ya Mwendokasi ni kubwa

    Mbali na kuwa na utaratibu wa kupanga foleni lakini bado usafiri wa Mwendokasi Kituo cha Mbezi Luis Dar es Salaam bado ni changamoto sana, sijui nini kifanyike kwa kweli? Nimepita nikaona watu wanavyopambana na kugombania kuingia kwenye usafiri hadi huruma.
  2. T

    KERO IGP tuondolee Askari wa Usalama Barabarani Tabata, wamekua kero na kusababisha Foleni kwa faida yao.

    Mimi kama mkazi wa Ukonga, naetumia barabarani ya Tabata naomba kutoa ombi kwa IGP ama mkuu wa usalama wa barabarani mkoa wa Dar es Salaam. Inajulikana kwamba asubuhi ni muda wa rush hours, watu wanawahi kwenda kwenye shughuli zao za kiuchumi na pia inajulikana setup ya barabara zetu asubuhi...
  3. BigTall

    Tunateseka kwenye foleni Kibaigwa (Dodoma) kwa zaidi ya saa tano, inadaiwa kuna msafara wa kiongozi

    Tangu asubuhi ya leo mida ya Saa 12 asubuhi (Januari 30, 2024) tumeweka kwenye foleni hapa maeneo ya Kibaigwa (Dodoma) na hatujui kinachoendelea, taarifa ambazo si rasmi inadaiwa kuna msafara wa Kiongozi wa Serikalini. Jiulize kwa muda wote huo zaidi ya Saa tano inaelekea 6 hours hakuna magari...
  4. S

    Tanzania limejitokeza tabaka la "wenye nchi" ambao wanaona hawastahili kuendesha gari kwenye foleni na wana haki ya kutofuata sheria za barabarani

    Tumefikia sasa kwamba hapa nchini tuna watumiaji wa barabara wa aina mbili - Watanzania wa kawaida, na Watanzania "wenye nchi" ambao sheria za barabarani haziwahusu. Hili kundi la "wenye nchi" ni wale ambao hawataki kabisa wabugudhiwe katika kuendesha juu ya spidi inayoruhusiwa, au wakae kwenye...
  5. Determinantor

    Foleni za Huduma NMB ni ujinga mtupu

    Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa. Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma. Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana...
  6. GENTAMYCINE

    RC wa Dar Chalamila: Anayekerwa na Foleni za Dar ahamie Kijijini akalime

    Tafadhali Rais Samia ikikupendeza kwa Siku za baadae ukiwa unafanya UTEUZI wa Viongozi mbalimbali uwe unanikaribisha Mpiga Kura wao na Mwanao Kikatiba niwe nakuja kuwapima kama kuna Wavuta Bangi na labda waliowahi kuugua Uwendawazimu wakiwa Udogoni / Utotoni. Sitokuangusha katika hili...
  7. Erythrocyte

    Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini. “Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado...
  8. KING MIDAS

    Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

    Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa. Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala. Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu...
  9. Stuxnet

    Kuna Foleni Kali Kati ya Chalinze na Ruvu leo tarehe 08/ 12/ 23 mifa ya Saa 7 usiku

    Magari hayatembei both ways, je kuna sababishwa na nini? Ni zaidi ya nusu saa sasa. Tarehe ni 09/12/23
  10. BigTall

    Barabara ya Mbezi Mwisho, Kimara kuelekea Town kila siku asubuhi kuna foleni kubwa, hivi tatizo ni nini?

    Hii Barabara ya kutoka Mbezi Mwisho kupita Kimara kuelekea Mjini imekuwa na foleni sana hasa majira ya asubuhi, sijui nini ambacho kimetokea na kusababisha hali hiyo lakini ni jambo ambalo linakera sana. Kuna wakati najiuliza kwani magari yameongezeka katika Barabarara hiyo maarufu kwa jina la...
  11. BARD AI

    Chanzo cha Foleni za Dar ni Trafiki na Misafara isiyo na ulazima

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia hali mbaya ya Foleni hasa nyakati za Jioni na Asubuhi, chanzo kikubwa cha Foleni kimekuwa ni utaratibu mbovu wa Trafiki kuongoza Magari ya upande mmoja kwa muda mrefu wakati mwingine hadi nusu saa Saa moja kwa upande mmoja. Pia, Trafiki husimamisha...
  12. BARD AI

    Mwamposa adaiwa kuwatumia Trafiki kufunga Barabara ili awahi safari zake, asababisha Foleni zaidi ya masaa 4

    Kuna malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba Jeshi la Polisi Tanzania kitengo cha Usalama Barabarani wanafunga barabara kwa sababu ya Mwamposa hivyo kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Hizi ni barabara za umma, kama mtu ana biashara yake anawahi na muhimu anunue Chopa sio kuleta usumbufu kwa...
  13. Kurunzi

    Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

    Tumekaa maeneo ya Fulwe Mikese kwa zaidi ya saa tatu, gari zimefunga pande zote mbili, nilikuwa mawazo Dodoma kikao saa 2:30 sijui kama nitawahi
  14. ninjajr

    Foleni ya leo barabara ya Mandela sio poa

    Barabara ya mandela road ilikuwa haifai leo ,foleni Nimeikuta imeanzia uhasibu chuo cha TIA mpk nimekuj kuchepuk njia ya kuingia Tabata,kwa wale tuliopita hii njia nahisi mmekutana nacho, nimejaribu kuchepukia njia ya mchicha ili niingilie njia ya uhuru wapi, kwenyewe ndo kabisa gari zilikuwa...
  15. Erythrocyte

    Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  16. BigTall

    KERO Foleni ya kuweka gesi Dar kwenye magari ni tatizo

    Mchangamoto tunaopitia wakati wa kujaza gesi kwenye magari ni kero kubwa ya foleni inayotokana na wingi wa wenye uhitaji huku sehemu za kujazia zikiwa chache. Hicho ni kikwazo kikubwa pia kwa madereva hasa wale ndugu zangu wa Taksi Mtandao kwa kuwa wanatumia muda mwingi kwenye foleni ya gesi...
  17. Uhakika Bro

    Kwenye kupambana na foleni, je sheria hii ni kandamizi au sio kandamizi?

    Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu. Magari ni mengi. Wenye uwezo wananunua magari yao. Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia. Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu 45, 72, mia etc.... wakati huo ya binafsi yanaanzia mmoja hadi kadhaa tu. Lakini yote yanachukua...
  18. bongo dili

    Serikali Ina mkakati gani wa kuondoa foleni ya malori Tunduma

    Takribani malori elf 10 toka nchi mbalimbali uvuka kwa mwezi mpaka wa Tanzania na Zambia mji mdogo wa Tunduma,shida kuu ni foleni sababu ya miundombinu mibovu. Unakuta foleni ya malori inafika hadi kilometers 30 sawa na kutoka Posta Dar hadi mlandizi. Yakingojea kuvuka yakiwa na mizigo ikiwemo...
  19. Roving Journalist

    Mrisho Mrisho: Meli zitenganishwe Muda wa kuwasili ili kupunguza foleni ya abiria

    Baada ya Mdau kueleza juu ya kero ya foleni kwenye Bandari ya Dar es Salaam hasa kwa abiria wanaotoka Zanzibar, Mamlaka ya Bandari umeeleza kuwa changamoto hiyo imemalizika baada ya kufungwa kwa mashine mbili kubwa za kukagua mizigo "scanner". Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho...
  20. JanguKamaJangu

    Kero hii ya foleni Bandarini kwa abiria wanaotokea Zanzibar itaisha lini?

    Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
Back
Top Bottom