Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600
Pia soma:
DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee.
Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
Leo mchana huu, kuna foleni ya kutisha hapa Mbeya.
Magari yanayotoka Iringa na maeneo ya Nanenane foleni ni bumber to bumber.
Kuna sehemu unasimama muda mrefu sana.
Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
1. Baba Dulla kanitesa kweli na hii Mimba.
2. Najuta kumbebea Mimba Mwanaume wangu mwenye ngumu.
3. Utamu wa dakika chache Unanitesa sasa.
4. Sizai tena labda anibake.
5. Yaani huyu Bwege ndiyo ananifanya Mimi nilambe Mkaa kila mara?
6. Safari ijayo nagawana nae Mimba ili ajue Mateso...
Ndugu zangu kwema?
Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote.
Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge
Pamoja na...
Leo Jumapili nimekumbana na foleni huko Mikese Moro, foleni hiyo iliyofuma magari yatokayo na yaendayo Moro, Mizani ya Mikese nayo ilikuwa katikati ya foleni huku ikiwa imefungwa, na ikumbukwe inahidumia magari kuanzia tani tano na kuendelea.
Magari yalichukuwa zaidi ya saa mbili yakiwa...
Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni.
Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10...
Dare es salama jiji lenye joto kali na foleni ndefu nyakati za mchana karibu kwenye barabara zote. Sasa unapokutwa changamoto hii wala usiwe na shaka unachokiwa kufanya ni kuchukua simu yako na kuingia mtandaoni huku ukisubiri foleni ipungue na huko unaweza jiongea wafuasi ushwawishi pamoja...
Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
Haya mambo zamani hayakuwepo ila siku hizi unaongezeka kwa kasi.
Leo asubuhi maeneo ya Tegeta tumekalishwa foleni karibu dk 45 kusubiri msafara wa boss wa polisi uliokuwa na magari matatu.
Shughulli nyingi za kiuchumi na kijamii zilisimama! Hii sio sawa kabisa.
Na Bwanku M Bwanku.
Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote tunajua namna Dar ilivyo na foleni kubwa, Sasa Serikali ya Rais Samia inaendelea kukimbiza mradi huu wa...
Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni.
Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi.
Najiuliza, hivi tatizo ni...
Kuna muda huwa sipendi kupita katika njia ya pale Mwenge kwenye Jiji letu la Dar es Salaam hasa majira ya jioni, maana wale trafiki wanaoongoza magari mitaa hiyo ni wazinguaji hasa.
Kwa ufupi wao ndio wanaosababisha foleni iwe kubwa, bora wangeacha taa zifanye kazi, wanazingua sana.
Ikifika...
Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala.
Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
Nimejaribu kutembelea baadhi ya mahospitali, changamoto kubwa niliyokutana nayo ni msongamano wa wagonjwa, kuwa kwenye foleni ili kupata huduma.
Wengine wanakuwa wametoka majumbani tangu asubuhi na wanamaliza siku nzima wanakuwa hawajapata huduma kwa wakati.
Kwa mtazamo wangu, hii changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.