Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum...
Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji
Amesema Wakati...
Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema
1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe hawataki kuyaweka wazi.
Tunaiomba serikali iwasuluhishe hawa watu wanakoenda siyo kwenyewe
Mfano ifuatayo...
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake.
Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina...
Shalom,
Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe
Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe.
Tangu kitambo Chadema ni Mali ya Mzee Mtei ambayo sasa iko chini ya Mbowe na familia pamoja na...
Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya.
Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
Hivi huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni Mchungaji Peter Msigwa amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji (mstf) Francis Mutungi kuhakikisha anafuatilia kwa karibu vyama vya siasa vya upinzani nchini ili...
"Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA.
Wengi wao wanao msema Mbowe ni wanaccm. Unajiuliza hao wana CCM wanatoa wapi hiyo huruma kwa wana CHADEMA?
Mbowe ni tunu...
Kwa unavyoona mambo yalivyo pale BAWACHA au hata BAVICHA, nani unadhani anaweza kuwa Mwanamke wa nguvu wa kwanza kushika wadhifa wa juu wa chama hicho Kikuu cha upinzani ukiachilia mbali uongozi alionao sasa kulingana na kundi alilopo ndani ya chama hicho?
Je, ni Catherine Ruge au Halima Mdee...
Rejea: Kuelekea 2025 - Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro
———
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa.
Ktk video clip hii hapa chini inaonesha Mh Mbowe akiwatolea uvivu baadhi ya viongozi wanaodhaniwa kuwa wa serikali...
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia...
Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM
Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM
Wabunge wamehamia CCM
Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM
Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM
Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa
Baadae mlale Unono 😀😀
Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazima mfahamu ya kuwa CCM ndio tumaini la watanzania,ndio chama chenye kuaminika na kuaminiwa na mamilioni ya watanzania,ndio chama kilichobeba matumaini na hatima ya watanzania na Taifa letu,ndio mahali pekee ambako unaweza kukaa na kuishi kwa amani na matumaini...
Nimeona video inasambaa mtandaoni ikimnukuu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akisema kama unataka kujiunga na chama cha wadhulumaji, wizi wa kura, ulaji wa rasilimali za Taifa, giza na rushwa, ingia CHADEMA.
Nimeshituka sana kusikia maneno haya kutoka kwa Mbowe. JamiiCheck tusaidieni...
Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA.
Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza ujue asali inakuwa haijamfikia, akishalamba analala usingizi wa pono.
Pia soma: Aliyekuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha ACTwazalendo, Dorothy Semu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.