==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo==
Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano wa Tanganyika & Zanzibar wa mwaka 1964 kuwa suluhu yake ni serikali tatu ya muungano, Tanganyika na...
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu...
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .
Hii hapa ndio Taarifa yake
Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya...
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo...
Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe .
Hali ndio kama mnavyoiona
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4
Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa
Hili hapa ndio Tangazo la IDU
----
The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world!
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.
Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Ujumbe wake Muruwa huu hapa
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.
CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024.
Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani!
Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo...
Je, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo?
Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu CHADEMA kinachoonesha uwepo wa Demokrasia? Ni miaka zaidi ya 20 mwenyekiti yule yule.
Binafsi kama...
Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi .
Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.