Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema
"Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari.
Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA...
Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao.
Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo...
Wanabodi!
Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za kitaifa na kimataifa ambaye kwa sasa naendesha kipindi kiitwacho KMT kinachorushwa na Kituo cha...
Wanabodi,
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L
Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not...
Na;
Hamis Abeid Baruani
UDASA, UDSM.
Kwa masikitiko makubwa leo Mbowe ameushangaza umma kwa kuongea mambo mawili ambayo hadi sasa yamepingwa kila kona ya nchi.
1. Katangaza kususia maridhiano
2. Kaitisha anayoyaita maandamano ya amani.
a) Mhe. Mbowe kabla ya kususia MARIDHIANO unakumbuka...
Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao.
Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM.
Ni makao makuu...
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine. Bahati nzuri akawa ameona hilo yeye mwenyewe na kuahidi kung'atuka mwaka huu 2023. Sasa anang'atuka...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka .
Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa, Freeman Mbowe amemtaja...
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri.
Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma.
Jumaa...
Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala.
Tofauti ya...
Kama tulivyoeleza hapo awali ni kwamba ile kampeni kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP WORLD ya Dubai , imeingia Kanda ya Nyasa.
Baada ya kuzinduliwa Jana huko Tunduma, leo imeingia Ileje na kupokelewa kwa kishindo na wananchi wa...
"Asanteni sana kupeperusha Bendera ya CHADEMA kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Hakika CHADEMA ni imani kwa wengi!! Popote tusambaze matumaini ya Tanzania ya Haki, Uhuru, Demokrasia na Maendeleo (Ustawi) kwa Watanzania wote. CHADEMA is simply a lifestyle!"
=
Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya .
Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .
Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese.
Masese na Mbowe wamepata wasaa wa kubadilishana mawazo na mikakati , hasa ikizingatiwa kwamba Oparesheni 255 inatarajiwa kuendelea Kanda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.