Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ambaye anajulikana pia kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , amejitokeza hadharani kushiriki pamoja na Watukufu Waislam Mawlid al Nabi , ambayo ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A .W
Ujumbe wake huu hapa
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar.
Taarifa zinaonyesha kwamba...
Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha.
Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa tathmini kutokana na Oparesheni Kabambe ya 255 KATIBA MPYA, iliyotiwa kachumbari ya OKOA BANDARI ZETU, ametumia wasaa huo pia kuwashukuru Wananchi wote waliochangia michango yao ya hali na mali ili kuwezesha Oparesheni hiyo.
Ujumbe wake huu hapa...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991.
Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana.
Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
Na Chadema Media
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameichambua hali mbaya ya umaskini unaowasibu takribani watu laki 4 wa visiwa 38 vya wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, huku akiwataka wananchi wa visiwa hivyo kuachana kabisa na utawala wa Chama...
Nimefuatilia kwenye Online TVs za YouTube mikutano ya CHADEMA leo J'tano ya kuimarisha chama chao waliyoipa jina la Operesheni +255 - Katiba mpya na Okoa bandari zetu..
Leo Freeman Mbowe, Mwenyekiti Taifa (CHADEMA) amehitimishia mikutano yake mji mdogo wa Nyehunge Jimbo la Buchosa Wilaya ya...
Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator
Freeman Mbowe is a leader
Kiongozi wa Upinzani kuaminiwa na Viongozi wa Dini na wakatumia Jukwaa lako kuikosoa na kuishauri Serikali siyo jambo...
La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye!
Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
baada
ccm
chatanda
freemanmbowe
gerezani
inawezekana
jela
kisaikolojia
kumtoa
mbowe
mrefu
muda
muda mrefu
pamoja
rais
rais samia
samia
shukrani
wanawake
Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani.
Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
===
MKUTANO...
Kadinali Pengo na Mzee Kutima wanawakilisha wanazuoni wa kidini wanaokubaliana na tahadhari ya Dr. Freeman Mbowe kwenye sakata la kukodishwa Bandari. Mzee wetu pengo kwa unyenyekevu mkubwa anawauliza watawala " Mmepewa madaraka mtupatie fedha nyingi au Mmepewa madaraka mtujengee uwezo wa...
Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.
Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko...
Kumekucha, Chadema wamegusa pabaya.
========
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Unguja Ali Ebrahim, akizungumzia Sakata la Ukodishwaji wa Bandari za Tanzania amezungumzia umuhimu wa kutokuwahukumu Wazanzibari kwa kuzingatia vitendo vya watu wachache na si haki kusema "Wazanzibari wameuza bandari"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.