Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
Kutokana na mzigo huo wa madeni serikali inalazimika kuwagandamiza wananchi kwa kodi.
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi
Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe amedai kwamba Chadema iko Tayari kuhakikisha kwamba Haki za Jamii ya kimasai zinalindwa kwa gharama...
Kuna watu hapa hawasalimiani, Lema mpaka anakimbia anaogopa kugombea kanda, shughuli ya mitandaoni hiyo, katandikwa mtandaoni mwenyekiti wa kanda mwenye mamlaka ya kanda yake, kiongozi wenu, wako viongozi ambao ni wa kawaida kabisa wa majimbo, wa wilaya, wananchama wa kawaida wanaweza...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono 😃😃🔥
======
Freeman Mbowe akikanusha...
chadema
chadema wavurugana
chama cha demokrasia na maendeleo
freemanmbowe
lissu kuondoka chadema
mbowe na lissu hawapatani
mgogoro chadema
mpasuko chadema
operation karatu
tundu lissu
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote, anaongoza kikao cha Mashauriano cha Chama Chake huko Arusha.
Ifahamike kwamba Mbowe ni Mjumbe wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ameanza Ziara ya Siku 4 katika Majimbo 30 ya Kanda ya Kaskazini akitumia Usafiri wa helicopter
Tuzidi kumuombea
Dominica njema 😄
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ataongoza mikutano ya Mashauriano kwenye Mikoa ya Kanda ya Mashariki kama ifuatavyo:
Tanga tarehe 15 June
Arusha 16 June
Manyara 18 June
Kilimanjaro 19 June
Credit: Twaha Mwaipaya X
My take; Mcheza kwao hutunzwa
Ni hilo tu
Mbowe ulishatangaza 2023 unastaafu na Mungu wa mbinguni alisikia pia Dunia ilisikika.
Mungu anasema Ukiahidi Timiza.
Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi Freeman Mbowe wa Chadema 😀
Pia soma
Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA
Mbowe ameongoza...
Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa.
Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu.
Uelekeo wala dhima ya mikutano yenyewe haifahamiki ni nini, maana ni story na porojo tu za pata potea mwanzo...
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CHADEMA, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais?
Huyu Mzee hapendi kabisa kuwapisha wengine wasogeze gurudumu mbele. Na hii siyo kwa sababu kuna...
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa, Kudhalilishwa na kutukanwa hata Matusi ya nguoni, tena wakati mwingine anatukanwa na watu ambao amewakuza na...
Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani.
Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu.
Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia virago.
--
“Kuna tofouti kubwa kati ya kukilinda chama na kumlinda mtu, Kukipinga chama na kumpinga...
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa.
Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu Lissu alikuwa busy na mambo yake ya sheria akiwa na miaka 36. Halima Mdee alikuwa na miaka 26...
Wasalaam, JF.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima.
Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof...
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.
1...
Salaam, Shalom!!
Kwanza nianze Kwa kuweka wazi kuwa, Mimi Si mwanachama wa chama chochote Cha siasa, na ikiwa Kuna yeyote mwenye ushahidi wa Rabbon kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa, auweke hapa. Nimesema hayo Ili Ushauri wangu uwe ushauri binafsi, usio na mashinikizo ya kichama...
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao finyu ana uwezo wa kuingiza watu barabarani na kuiondoa serikali kwa njia za kihuni.
Kumchangia...
Ni Kauli nzito sana
Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi na Usalama vifuatilie
Muungano ni Tunu ya Taifa
Mlale unono!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.