freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  2. M

    Mahesabu yampa ushindi Freeman Mbowe, atarajiwa kuridhiana na Tundu Lissu

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa.Mkutano Mkuu wa Chadema uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu umewadia. Ni hapo kesho kutwa tarehe 21 Januari, siku ya Jumanne. Hakika yamesemwa mengi na kampeni za kuwania kuingia ofisi Kuu ya Mikocheni zimepamba moto na sasa ni lala salama. Vyovyote iwavyo Chadema imeweza...
  3. M

    CHADEMA Dodoma: Tumemchoka Mbowe, muda wake umeisha ampishe Lissu

    Viongozi wa Majimbo 8 wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamejitokeza hadharani kumuunga Mkono Mgombea wa Uwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na kumtaka Mgombea mwenzake ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe kukubali kuwa wakati wake umepita hivyo ni wakati wa kukubali mabadiliko ndani ya chama...
  4. KURA YAKO: Freeman Mbowe, Odero Charles na Tundu Lissu

    Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
  5. Pre GE2025 Wagombea Mbowe anayetetea nafasi yake, Lissu na Odero kufanyiwa usaili leo ofisi za Chadema

    Wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Chadema, wanafanyiwa usaili leo Jumapili, Januari 19, 2025, ikiwa ni maandalizi ya kinyang'anyiro cha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumanne Januari 21, 2025. Usaili wa wagombea hao, unafanyika yalipo Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni jijini...
  6. Mbowe, Lissu wameitumbukiza CHADEMA vita ya pembe tano

    VITA ya hatima ndicho kinaendelea Chadema. Siyo vita na hatima kama simulizi ya familia ya Ku, Asia Mashariki, kwenye tamthiliya ya War and Destiny, bali Chadema, hali ilivyofikia, kinachopambaniwa ni hatima. Uamuzi wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tanzania Bara, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti...
  7. R

    Wasira yupo toka kipindi cha Nyerere!

    HONGERA wASIRA.......YUPO.......YUPO..........YUPO................YUPO......................YUPO......................YUPO Steven wasira 80 YRS OF AGE...........................YUPO Pia soma: Uchaguzi 2025 - Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
  8. Unadhani Freeman Mbowe au Tundu Lissu, mmojawapo akishinda itakuwaje?

    Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo; 1. Marekebisho ya Katiba ya CHADEMA 2. Ruzuku inayotolewa Kwa CHADEMA 3. Mgombea Urais chadema uchaguzi Mkuu mwaka 2025. 4. Mfumo wa...
  9. Pre GE2025 Lissu: Mbowe akishindwa uwenyekiti wa CHADEMA, nitamlindia heshima yake

    Wanajukwaa! Leo Lissu amefunguka mengi sana moja wapo ni hili Tundu Lissu amesema atamlindia heshima yake Freemana Mbowe na atakuwa miongoni mwa wazee wa chama watakaokuwa wanasimamia uchaguzi Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
  10. M

    Nimemsikia Tundu Lissu akidai Mbowe alipotoka jela alibadilika kalamba asali!

    Nimemsikia Tundu Lissu akidai Mbowe alipotoka jela alibadilika kalamba asali!, Mbowe mstaarabu sana aisee jamaa anampaka vibaya sana hata kwenye mdahalo. Najiuliza hivi, yeye aliporudi nchini alifanya nini? Upi mchango wake mkubwa baada ya kurudi nchini kutoka Ubelgiji ambao tunaweza sema Tundu...
  11. Mbowe kupendekeza uongozi ukae miaka mitatu madarakani, kisha Uchaguzi unafanyika

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya miaka mitatu badala ya mitano. Mbowe, anayetetea nafasi hiyo aliyoiongoza kwa miaka 21, amesema...
  12. Mbowe: Nitaunda tume ya ukweli na upatanishi nikishinda Uenyekiti

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ataunda tume ya ukweli na upatanishi. Amesema katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia ngazi za chini hadi wa taifa, utakaohitimishwa Jumanne ya Januari 21, 2025, kumetokea mnyukano mwingi...
  13. Godbless Lema: Nilijitoa kwenye Join The Chain baada ya Mbowe kutoka gerezani na kuanza kujimilikisha hiyo kampeni

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa moto. Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia alihusika katika kampeni hiyo. Lema anasema kuwa ni kweli yeye ndo alihusika kuanzishwa kwa kampeni na...
  14. Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

    Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili. Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp...
  15. Mbowe: Mwenye ushahidi wa Rushwa CHADEMA alete, hakuna aliye msafi kama Mtume

    Wakuu "Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli" "Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi...
  16. M

    Pre GE2025 Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia

    === Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii. Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya...
  17. Viongozi CHADEMA wameendelea Kutoa Elimu kwa waandishi wa Habari

    Baada ya Jana Tundu Lissu kutoa Elimu kwa Mtangazaji Kijakazi Yunus wa CLOUDS TV kupewa Elimu na Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Leo Freeman Mbowe ameendelea Kutoa Elimu ya aina Hiyo na hapa ni azam TV https://www.instagram.com/azamtvtz/reel/DE6vkQ3Bufu/
  18. Pre GE2025 Mbowe: Lissu kusema hajui nilichozungumza na Rais ni Umbea

    Wakuu, Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh: "Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea, na unapoona kiongozi mwandamizi kama kweli amesema..mimi sijasikikia ila kama kweli amesema...
  19. Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

    Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema; "Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
  20. VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…