🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA, UBORA WA KUDUMU! 🔥🏗️
Unataka nyumba yako iwe ya kuvutia na ya kisasa? Tunakuletea huduma bora za ujenzi na ukamilishaji kwa viwango vya juu! 👌🏾🏠
🔨 Huduma Zetu:
✅ Finishing & Decorations – Tunamalizia kwa ustadi wa hali ya juu ✨
✅ Plasta – Ukuta wako...
Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es salaam,Nina uzoefu kidogo wa kuskim,kupiga rangi na kujenga tofali
Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk
Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk.
Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale.
Tunafunga fensi...
Habari ndugu zangu,naomba tupeane connection hapa za fundi/programmer mzuri wa volvo v40 T4 ya 1600cc petrol 2014 model
Anatakiwa fundi mzuri sio wa kubahatisha ,yaani anayeijua hiyo gari vizuri.
BWANA FUNDI NIPO HAPA..
KAMA TV YAKO INA CHANGAMOTO YOYOTE
INATIBIKA BILA SHIDA NA TUNAFANYA MPAKA
HOME SERVICE PIA..
KAMA SHIDA NI
MOTHERBOARD
TCON
POWER SUPPLY
BACKLIGHT
KIO0 SHIDA YOYOTE
TV IMEZIMA GHAFLA TUNAWASHA, SAUTI,
MWANGA NA MATATIZO YOTE WE PIGA SIM
0744680670
0618199522
TUNAKUFIKIA...
Umuofia kwenu,
Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo.
Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
Waungwana nawasalimu,
Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema.
Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac.
Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live.
Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita.
Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional...
Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala
Mbao za 2/2 mbao 130
Mbao za 2/4 mbao 150
Misumali kg 45 ya inch 4
Mbao za fisherboard 18
Rangi sado 1
Kofia 26
Valley 18
Misumali ya bati pakt 30.
Bati 140
Nipigie au nichek Whatsapp 0743257669 tufanye kazi
Tunapatikana ukonga dsm
Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi.
1. Tumia Mitandao...
Tupigie 0743257669 #Watalaamu waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe
✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA
📍HAVIJAI KABISA
📍HAVITOI HARUFU
📍HUCHUKUA ENEO NDOGO
📍 GHARAMA ZETU NAFUU SANA
📍HUJENGWA NDANI YA SIKU NNE
✍️Kwa mfumo...
Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa.
Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
Kulingana na muda mchache huu nilioingia kwenye sekta ya ufundi Kuna vitu kadhaa nimejifunza
Mfano juzi Kuna mteja aliniletea pasi baada ya kuikagua nikagundua ile pasi yake haifai Tena kupona kwani ilipiga shoti ikaua mpaka hita lakini ile pasi ilikuwa Bado nzuri kwa bodi lake
Baada ya...
Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo
Naomba tuambiane
Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake
Kioo kwishnaaa
Winoo. Hioo
Samsung a03
Sijui sh ngapi sio kwa kutishiwa na watu hivi oohh
Habari JF members,
Kuna kijana anatafuta kazi yeyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO.
Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati mbaya hajafanikiwa.
Anaweza kufanya kazi zifuatazo:
1. Za ndani
2. Kuuza duka,
3. Shamba boy,
4. Kuosha...
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
anafanya
chadema
fedha
fundi
hizi
kucheza
kuisha
kupanda
kupanda na kushuka
kushuka
mheshimiwa
mwaka
naona
samia
tena
upepo
uteuzi
waziri
waziri wa fedha
Habari wapendwa.
kwa wale wenye viwanda vidogo na vikubwa karibuni sana. Tunatengeneza cherehani aina zote.
Iwe changamoto yoyote inayo husiana na ushonaji karibu umepata suruhisho.
Gharama zetu ni nafuu popote tuna fika tunapatikana dar es salaam ila hata mikoani tunafika kwa gharama...