Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi welding mwenye uzoefu wa kutengeneza Spiral staircase.
Material kwa maana ya chuma, welding sticks, grinder discs kulingana na size grinder size atakayo kuwa nayo.
Fundi atachaji gharama ya fundi tu. Kazi itafanyika nyumbani kwangu.
Kama...
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu
Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
Anaitwa Greyson sijui Grayson Gwalala kiungo mkatashombo wa Coastal Union ya Tanga, jana amekuwa man of the match kwenye mechi dhidi ys Singida Big Stars yenye viungo wa kimataifa waliooonyesha ufundi wa hali ya juu wakati wa mechi dhidi ya Yanga, dogo huyu wala hastahili kukosa national team...
Biashara za Mtandaoni bhana zina Changamoto sana, tunajitahidi mno kuendana na Wakati lakini wafanya biashara wengi hawajui kwanini wanafanya biashara na ipi ni namna nzuri ya kufanya biashara na kuvuta wateja.
Unakuta unashida ya Kubadilisha taa ya Nyuma, au unataka Plug za Ignition...
Mimi ni fundi wa umeme wa mitambo mbalimbali ya viwandani na majumbani,kama matanuru ya umeme ya kuyeyushia vyuma,kama ya viwanda vya nondo(INDUCTION FURNACES),OVERHEAD CRANES,MAMBO YA UYEYUSHAJI CHUMA(FOUNDRY) NK,NAFANYA PART TIME,SIYO KUAJIRIWA,,NIPO DAR.
Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo;
1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu
2. Kazi inafanyika KIMARA DSM
3. Nahitaji...
Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
Nina kijana/rafiki
Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi
Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika garage (sio chuo)
Uzoefu miaka nane, ila hana ofisi rasmi hivyo nimeona nichukue nafasi hii kumtafutia...
Nusu waniue leo!
Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi!
Asee nikapewa advance jana hiyohiyo nikapata hela ya kula. Leo nimeenda pale kuonana na baofeng mpyaaaa.. walinzi wamechanganya frequencies...
Habari wana JamiiForums.
Nimejipiga piga hapa nikajikung'uta kila kitu nikanunua Mazda CX5 sasa nilikuwa naomba mwenye kujua garage nzuri yenye mafundi wa Mazda
Shikamoo fundi.
Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji.
Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware.
Na sio kutoa password wala ku Format.
Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160.
Nimejaribu sana...
Kuna fundi kaja hapa kisha akampa Mteja nionge nae mteja akasema nimpe mahitaji anayo taka kisha nimtumie bili zote
Nondo pis 28 fundi aka chukuwa 14 tu
Binding ware 10 fundi kachukuwa tatu
Mifuko 20 Y cement fundi kachukuwa 10 tu
Nimeingiwa huruma sana kwani mteja anapigwa mno na ukizingatia...
Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.