Kiuhalisia kwa game (mechi) ya jana ilikuwa ngumu pande zote. Nguvu ya ushindani na kasi ya mikimbio ilikuwa sawa kwa kiasi kikubwa wachezaji wote walicheza katika viwango.
Hii inanipa picha ngumu na yenye njonjo kwenye mashindano yajayo dhidi ya maasimu hawa wawili ambao makazi yao na historia...
habari wakuu,
nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji.
ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.
Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja
1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi.
2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
Je King'amuzi chako kimepoteza CHANNEL?? Au Kuna channel ambazo hazipo kwenye ORODHA?? Unapata Ujumbe wa NO SIGNAL....Usijali piga 0789200181 Fundi aje mpk ulipo kwa gharama ya Tsh 25000/= Matengenezo ndani ya Dar es salaam tu.
TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari-0746373222.
Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua.
Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua...
Habari wakuu,
Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama connection ya kazi, nawaahidi ufanisi wa kazi uliotukuka na uwaminifu mkubwa.
Mimi napatikana Dar es...
Nafasi ya kazi fundi mechanical na Fundi welding wanahitajika, sifa kubwa mbili mtu awenazo awe amesomea na awe na cheti na na pia awe na uzoefu wa kufanya kazi viwandani
Piga 0766320816 kwa maelewano na maelekezo zaidi
Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi.
Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine)
Mawasiliano
0749247929
TV yako haiwaki?
TV yako inajizima?
TV yako unasikia sauti huoni picha?
TV yako inawaka nusu hazijazi kioo?
TV yako imeingia giza upande mmoja?
TV yako imeua taa?
TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu?
TV yako inawaka taa nyekundu tu?
TV yako haina sauti?
TV yako inaonyesha mistali?
TV...
#HABARI: Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliyetambulika kama fundi wa magari, amepata ajali maeneo ya River side Ubungo, jijini Dar es Salaam, wakati akipeleka gari yenye namba za usajili T 120 ANP, kwa mmiliki wa gari hiyo maeneo ya Temeke.
Mashuhuda wa ajali hiyo...
Habari ndugu zangu wanaJamiiforums......Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote.
TATIZO:
Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena baada ya zingine kumi inazima tena. Inakuwa inafanya mchezo wa aina hiyo muda wote ambao inakuwa...
Kuna baadhi yetu hatujui ni wakati gani na mazingira gani tutumie loud speaker katika rununu zetu, kwakuwa ipo hiyo option basi wewe unatumia tu.
Kuwa muangalifu sana unapotumia loud speaker, ikiwa ni maongezi ambayo sio nyeti basi waeza kusikiliza ukiwa mbele za watu lkn kama ni mazungumzo...
Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo huyu ni fundi hasa lakini haheshimiki, hana bahati.
Mzamiru Yasin ambaye ni kiungo punda hakabi...
Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena.
Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.