fundi

  1. S

    Fundi nguo anahitajika

    Fundi nguo anahitajika: 1. Awe ana ujuzi kwanza miaka 2 kuendelea. 2. Anafahamu kushona nguo za kike hasa za kwenye mashughuli mbalimbali kama harusi nk. 3. Awe na umri 25 -35 Piga namba 0737 610 682.
  2. Elon Mzebuluni

    Tunatengeneza urembo wa mageti, fensi, madirisha, milango, balcon na vitanda

    Habari! Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie. Pia tunafanya kazi yeyote ya casting. Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu. Tupo Mbeya mjini.
  3. E

    Jinsi ya kunyamazisha watu wanaokusema eti kisa ''gari lako chafu''

    Umeshawahi kusemwa (au kuchekwa) na watu eti kisa ''gari lako chafu?'' Unawajua hawa watu. Wanapenda sana kufuatilia mambo hayawahusu. Wasione kitu na wanaanza kukosoa. Hawajui unapitia changamoto gani kimasha. Wanakosoa bila kuelewa. Je, ungependa ''kuwanyamazisha'' hawa watu wenye tabia ya...
  4. V

    Tunachimba visima vya kisasa

    bavi drilling tunafanya huduma zifuatazo ndani ya Dar Es Salaam na mikoa yote kufanya geophysical survey(ground water survey ) kujua kama site yako ina maji. Tunachimba kisima kwa machine zetu za kisasa hummer pamoja na kuweka pvc. Tunafunga pump za...
Back
Top Bottom