Wakuu kwema?
Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba anisaidie namba yake.
Ahsanteni.
Ninawasalimka ndugu wajumbe.
Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
Tunatengeneza Computer za aina zote na kurudishia katika ubora Wake,,
Pia tunazo Software / Program Za Computer
Tupo DAR ES SALAAM
WASILIANA NASI 0628 880 380
Nafanya ufundi wa vitu vifuatavyo:-
1. Nafanya LAN ya uhakika na kufunga access point( wireless)
2. Nafanya installation ya cctv cameras kuanzia maofisini, dukani na hata majumbani nnazo cctv za bulb ambazo hazijulikani hvo husaidia kuonesha yanayoendelea nyumbani kipindi wazazi hawapo ili...
Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu
Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana
So please wandugu kama kuna mtu anajua fundi mzuri wa hizi Nissan teana au gereji mzuri naomba connection
Ni fundi bingwa Majiko ya Gass Kwa tatizo lolote tupigie +255715673024 huduma ni popote ulipo Kwa Dar es salaam na Dodoma fundi atakufata hadi lilipo jiko lako whatsap online muda wote uliza swali utajibiwa.
Pia natoa ushauri Kwa mtungi wako wa gass kuweka juu ya ubao na si chini kama...
Fundi nguo anahitajika
Awe na miaka 24 - 38
Awe na uzoefu usiopungua miaka 3
Awe anajua kushona nguo za kike vizuri
Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji
Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682.
Similar threads
Natafuta fundi wa kushona nguo
Fundi nguo...
Habarini na poleni na majukumu,
Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine).
Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
Fundi nguo anahitajika
Awe na miaka 24 - 38
Awe na uzoefu usiopungua miaka 3
Awe anajua kushona nguo za kike vizuri
Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji
Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682.
Kwa mahitaji ya kufanyiwa installation kuanzia awamu ya kwanza hadi awamu ya finishing.
Bei zangu huwa ni rafiki sana kwa mkoa wa Dodoma ndiyo rahisi zaidi kukutana.
Namba zangu za kazi ni 0752768907
NOTE:
Ninaposema troubleshooting tool maana yake ni tool inayoweza kukusaidia kujua na kutatua tatizo lolote kwenye PC.
sifundishi ila najaribu kukufumbua macho ukae ukifahamu kuwa hauitaji knowledge kubwa kutatua matatizo madogo madogo ndani ya PC yako.
Kumbuka kila kifaa kimeundwa na mfumo...
Laptop yangu aina ya Dell Inspiration touch screen, intel core i7, 15.6', 8GB RAM imepasuka kioo.
Ilianguka kisha nikawapa watu wa it office wakawapatia vijana wa field wameiharibu sasa nataka expert aniwekee screen mpya.
Kama yumo humu aniambie bei ya hiyo touch screen ni kiasi gani au kama...
Kama kawaida unapokuwa unaandika au unadesign kitu chochote kama vile website au graphics za aina nyingine kama wallpaper, brochure, poster, logo, vitabu au newsletter nk. basi utakuwa na fonts unazopenda kuzitumia na zinavutia kweli kulingana na kazi unayofanya.
Sasa uzi huu ni wa kutupia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.