fundi

  1. kajojo

    Fundi Mzuri wa External hard drive

    Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji. Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie. External nilizonazo zinawaka ukiziconnet ila hazisomi sio kwenye computer au kwenye TV.
  2. M

    Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

    Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje? Natanguliza shukrani 🙏.
  3. Murii

    Fundi pavements

    Tunahusika na ujenzi wa: 1. Pavement blocks za maua mbalimbali (kufyatua na kupanga) 2. Kujenga kegbstone(bouder blocks) na kudesgn garden🌺🌱 3. Tunafanya renovation (paving zilizotitia) na kuzipaka rangi (painting)🖌️ 4. Tunajenga paving za kisasa kwa kutumia mold za plastic (zinaokoa...
  4. I am jaluo

    Natafuta fundi magari Mwanza

    Nina shida gari funguo nimepoteza naomba kama kuna fundi mwanza anaweza kunibadilishia funguo nyingine
  5. The bump

    Fundi simu anahitajika, nina ofisi nahitaji fundi

    Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware. Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
  6. polokwane

    Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  7. MamaSamia2025

    Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

    Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
  8. M

    Fundi Umeme na solar

    Habari! Kalibun kwa huduma za ufundi umeme na solar, tunafany design za taa mbali mbali za umeme. Tv show case na wirring zote kwa ujumla, tunafunga submitter aina zote. Tuna design taa mbali mbali za solar kam stree light, home lighting system, stand alone system na hudum nyingne za umeme na...
  9. Its Pancho

    Tujikumbushe usajiri wa kiungo fundi mkata umeme sawadogo..

    Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi, Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe? Sawa sawa na tumemuacha maestro Andrea piro . Nimeumia sanaa natamani ninywe sumu
  10. moto nkali

    Fundi plaster anahitajika Haraka-Site Bunju Dar es salaam

    Asante
  11. saeedinho007

    Natafuta fundi mitambo Dar es Salaam

    Habari Wakuu, Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic vizuri hasa upande wa pump. Nipo Dar es Salaam
  12. LA7

    Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  13. kabugira

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  14. houstony

    Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
  15. The Icebreaker

    Simu ilikua kwa fundi

    Wakuu hope mpo poa, Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes" Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi, Naanza na hii, Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la Dunia,sikuwezi kutoa hongera zangu kwenu mapema coz simu ilikua kwa fundi, Twende kazi......
  16. nyboma

    UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  17. D

    Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana. Hongereni.
  18. Suzy Elias

    Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
  19. B

    Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  20. v0il0r

    Fundi umeme wa majumbani (pata 30% ukiniletea mteja)

    Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa Tuma ujumbe pm. Dar es Salaam > Kibamba
Back
Top Bottom