Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi.
Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine?
Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber.
Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika.
Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali.
Shukran za dhati za awali.
Cc: Extrovert
Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza.
Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na ameonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi za mashindano alizocheza mpaka sasa.
Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari
Contact 0712046672
Epateletech tunakuja na hii
Ukikosa hii offer sijui itakuaje
Whatsapp 0757937196
Wateja wetu wa mikoa ya nje na dar fanya utakalo ona linakufaa kati ya yafuatayo.
1.Itume simu moja kwa moja ofisini itengenezwe kisha utatumiwa au unaweza kumtumia mtu kama una mwenyeji dar es salaam...
Habari zenu wakuuu,
Mimi ni muhitimu wa water supply chuo cha maji Dar es salaam. Pia continuous student wa water resources engineering degree hapa hapa chuo cha maji, tumepata rikizo ya mwezi mzima chuoni
Naomba connection au kibalua au kazi kwenye sector ya plumbing kwasababu nipo vizuri sana...
Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na heshima na fani ya ualimu,garbage input gargabe out put,walimu huwa wanalaumiwa sana kwenye output...
Salaaam...
Kwanza kabisa niwe mkweli tu mie nimechakata sana hawa watoto, ila kuna dem mmoja nlikutana nae mtaani nikiwa likizo miaka ya nyuma kdg ), tukazoeana na ndo nikawa nna mpango aje awe mzazi mwenzangu (sio ndoa aisee, kuzaa nae tu tulee hadi tutakapochokana). Nlimchagua yeye kwa sababu...
Salale
Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa.
Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
Naona post zake Insta akitoa maelezo kuhusu service za magari,anatoa darasa zuri sana kupitia video clip zake,hasa kwenye kuibiwa masega anayemfahamu kwa undani pliz ni fundi mzuri kwa vitendo au janja janja?
nilipita sehemu mwaka juzi nikaona Ceiling nzuri kama hii. Nilipiga picha.
Watalaam twambieni inahitaji makario kiasi gani cha pesa Sitting room kama hii.
Fundi kama yupo tuanze kazi as soon as possible
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika.
Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.