Habarini waja JF,
Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk
Lakini fundi bei yake palepale, tell me why.
Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na...
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi.
mwenye uhitaji huo nicheki...
Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24.
Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
Habari!
Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wako katika sekta fulani.
Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea.
Mifano ni mingi njtakuja kuwaletea.
Usimwamini fundi!
Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana,
Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
Hiyo link ni Display na bei zake
Hiyo bei ni pamoja na ufundi
Share link
Epateletech epate
====
SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu
Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge
TECNO
✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo...
Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33
Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi
Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya.
Ashone nguo za kiume na kike kama hajui zingne awe tayari kujifunza.
Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu yaani miaka mingi
Awe tayari...
Tahadhari ni muhimu na watu tuliwaambia,nyumba za hidden roof sio za kupunguza gharama.
Ona sasa fundi Maiko kamliza mtu,nyumba inavuja na ukuta unaoza,anaanza upya kufumua.
Hakuna kitu rahisi,cheki hapa👇
Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar.
Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi.
Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi?
Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona?
Yanga SC...
Habari nyingi wakuu..
Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi.
Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
Ndugu zangu wa Jamii,
Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur.
Asanteni sana
Habari ndugu zangu nimefungua kijiwe cha welding na compressor kwa ajili ya kuunga vyuma na kuziba pancha za magari yote ,
Hivyo wanahtajika vijana wawili kwa ajili ya kazi hizi alie tayari ani pm
Location ushrombo karibu na sheli ya moil.
Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko.
Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama.
Jengo lililoanguka huko Goba...
Hello wadau,
Nahitaji fundi wa mashimo ya choo kwa sehem zenye maji maji sana. Nadhani wanayaita biodegester.
Kama kuna fundi yupo Arusha naomba anipm. Itapendeza akintumia sample picha ya kazi alizowaho fanya (Ikiwa zaidi ya moja itapendeza).
Thanks
Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh. 100,000/=. Nahitaji flat bar iliyoshiba. Ni vizuri pia ukinionyesha 'sample' za kazi ulizofanya...
Familia ya Mbowe imethibitisha kupitia ukarasa wa tweeter kwamba baba yao amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Tunaamini waliofanya haya hawataweza kumnyonga ila wanaweza kumweka kigungoni milele. Lakini aishivyo Mwenyenzi Mungu alimweka huyu Condem pia anaweza akatwaliwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.