Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.
Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
Habari zenu wakubwa' Naitwa Kelvin mwasanjobe Nina miaka27 ' Mimi ni fundi umeme wa magari na diagnosis' Nina uzoefu wa miaka9 ' kimtaji kiukweli sijafanikiwa kufungua ofisi yangu'hivo nilikuwa naomba mwenye connection ya kazi kwenye workshop au garage yoyote aniunganishe 0629177983
Hapa mtaani kwetu jirani yetu ni fundi wa magari. Ana garage yake mtaani na watu wanamwamni ni fundi mzuri sana.
Ameoa msichana wa mijini peace kali, wale wa dada wa human hair na lace wigi. Wanaishi kwenye chumba na sebule na mrs hana ajira huwa tunashinda nae mtaani.
Juzi kati walikua na...
Kuna fursa nyingi Sana za kazi dodoma kwa mafundi Kuna uhaba wa mafundi kila Kona ujenzi unaendelea hivyo Ni wazi kuwa fundi akiwa serious hakosi kazi.
Unakuta fundi analalamika kuwa kazi siku hizi zimekuwa ngumu kumbe ye alichokosea Ni kwamba hayupo mahali sahihi.kwa ujenzi kwa kweli dodoma...
Habari Wakuu,
Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic based machines hasa upande wa Transmission na Engine kwa Grader, Excavator, Compactor n.k
🙏🏽🙏🏽
Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.
Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake.
Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.
Wa pili amesema mbao...
Habarini za jioni wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis,gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni.
Gari ni ya 2010
Tatizo:
1.Inakosa nguvu
2.Inatoa mngurumo tofauti na kawaida
3. Misfire...
Kwa matatizo yote ya TV, ( iwe imezima ghafla, imeungua taa, kioo haikionyeshi, picha ina vibrate, inaonyesha nusu n. K) karibu, tukudumie kwa gharama nafuu, kwa wakazi wa dar popote tunakufikia, pia tunatengeneza, subwoofer, radio, home theater na vifaa vingine vya umeme.
Call/sms/whatsapp...
Natafuta fundi mzuri wa ngazi ya spiral ya chuma.
Nipo Dar.
Nitumie sample ya kazi yako kama unayo kupitia msirisana@yahoo.com.
Waweza weka pia kazi zako hapa pia, gharama na contact info.
Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi.
Vifaa.
1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles
2.Gloves
3.Mask
4.Viatu vya kufinika miguu.
5.Brash ngumu kubwa na
ndogo.
NAMNA YA KUSAFISHA
Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
Habari Wana jf, mm ni kijana jinsia Me naishi DSM natafuta mafundi wa kunishika mkono kwnye tenda mbalimbali za ujenzi.
Naweza safirI mahali popote jijini Dar es Salaam pia nshafanya kazi mbali mbali za usaidiz katika kampuni mbalimbali ikiwemo ujenzi wa terminal three(3) ya mwalim Julius...
Habari za kazi wakuu,
Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali.
natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097
Email: sylivesterstephano66@gmail.com
Salaam Wakuu,
Natafuta fundi wa form work, ninakaproject kangu kadogo, inaweza ikawa ni kazi ya siku tatu hadi nne, Ninalipa sh.40,000 kwa Siku, kazi ipo maeneo ya Kinyerezi mwisho.
Kama upo interested please call or text me 0783011848
Salam kwenu wapendwa.
Karibu sana kwenye page yetu ya Zoe Closet Tz, kwa kweli hili swali huwa najiuliza mara zote na sijawahi pata jibu, mafundi wa nguo shida inakuwaga nini?
Ofisi yetu inadeal na nguo za kike za kushona na za kawaida, na tunaelewa kushona nguo ni kazi yenye challenge kama...
Ndugu zangu habari zenu,ninahitaji msaada wa fundi alieko mkoa wa mbeya au kijana yeyote alieko mbeya mwenye uelewa wa kuweka custom rom mbalimbali kwa simu.
Ndugu yangu ana simu aina ya redmi note 9pro 5g chinese version sasa now kumekua na ban ya matumiz ya google services kwa chinese...
Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
Habari wakuu.! Natafta mtu anayejua kutengeneza pressure washer ya magari. Tatizo la machine ni kile kichwa chenye pistoni kinachosukuma maji yatoke kwa presha Kali, kina changanya maji na oil, nimetafta seal ili nibadilishe lakini hazipatikani.
Kwenye ufundi huo au kama una mshikaji ana ujuzi...
Nilikaa kusubiri juzi nilitarajia Rais Samia atavalia mavazi rasmi ya Kijeshi nilisubiri alipotokeza nikazani ni yule Rais nunda wa Korea ,kumbe ni yeyye,nikajisemea leo ni mambo ya Kijeshi na yeye sasa sikujua anahudhuria ile kama Rais au Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Serikali ya Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.