fursa

  1. Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika

    Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
  2. R

    Umeme wa Zero tarrif Bado upo, wavuja Jasho changamkieni fursa

    Wakati mgao ukiendelea, tujikumbushe Moja ya KAZI murua kabisa ilofanywa na waziri Muhongo. Hili ni suala la zero tarrif, umeme nafuu Kwa watu wa kipato cha chini. Kama unatumia umeme chini ya 75 units Kwa mwezi, Andika barua, ipeleke ofisi ya Tanesco wilaya uliyopo, baada ya mwezi kupita...
  3. Fursa biashara viatu vya kiume

    Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea...
  4. DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
  5. Fursa biashara viatu vya kike

    Bei Ya China Bila Usafiri 7000 kwa pea Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Gharama za usafiri zimejumuisha tozo zote za serikali Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 120 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni...
  6. Wasomi wapongeza Rais Samia anavyochungulia fursa kwa Mataifa tajiri

    Wachambuzi wa masuala ya uchumi na diplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria mkutano wa mataifa matano tajiri (BRICS), wakisema kitendo hicho kinaimarisha uhusi-ano wa kimataifa na kama Tanzania ikijiunga itakuwa na uchumi imara. Mkutano huo wa siku mbili ulihitimishwa jana...
  7. K

    Kijana yakubali Mazingira ulipo, pana fursa nyingi

    Mimi ni kijana wa zamani,kwa Sasa Nina umri wa miaka Hamsini na tatu(53)naelekea uzeeni. Enzi hizo kazi za kuajiriwa haikuwa shida sana kama ilivyo hivi Sasa! Pia wasomi hawakuwa wengi kama ilivyo hivi Sasa,kila nyakati Zina changamoto zake!Simu za mikononi zilikuwa hamna Wala mitandao ya...
  8. F

    Sakata la bandari ni fursa kubwa kwa Watanzania kusonga hatua nyingine mbele, tuitumie

    Ukitaka unufaike na matatizo yako basi yageuze upande wa pili. Sakata la bandari limeibua mengi na sasa linaonekana kutaka kuigawa nchi. Niwaambie kitu? Nchi yetu itakuwa imara zaidi baada ya sakata hili. Kwani tutawajua viongozi wetu vizuri zaidi, tutajua sheria zetu vizuri zaidi, viongozi wa...
  9. FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
  10. Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa. Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata...
  11. Maeneo ambayo kwasasa ya Fursa ya Ajira kutokana na ujenzi hapa Dar

    Hizi ndio sehemu ambazo kwasasa zinafursa za ajira kwa mafundi kujenga, umeme, Rangi nk 1. KIGAMBONI, Maeneo mengi ya Kigamboni kwa Sasa yanaendelea na ujunzi wa nyumba, shule, na majengo mbalimbali, maeneo hayo ni kama ifuatavyo; Mjimwema, Kibada, Kimbiji, nk. Nakuhakikishia Fundi ujenzi...
  12. Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  13. Sikilizeni CHADEMA hakuna aliewakataza kushiriki katika michezo

    Friends and our Weak Enemies, Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje aseme siasa zetu sisi au demokrasia yetu sisi ifanane na wao la hasha,na ndiyo Kwa maana unaona nchi...
  14. J

    Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja na kukuza pato la nchi. Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Nanenane leo Agosti 01, 2023 yanayofanyika katika...
  15. Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

    #Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza #Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
  16. Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

    Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii.... Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg. Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
  17. Fursa ya Kazi - Kuendesha Guest House Mwanza

    Habari wana Jamii, Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
  18. Rais samia: Afrika imejaa fursa tele

    RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ni lazima vijana wabadilishwe mitizamo yao juu ya fursa mbalimbali zinazopatikana Afrika na kuondoa ile mitizamo ya kwenda nje ya bara hilo kutafuta maisha. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 26, 2023 katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika kuhusu rasilimali...
  19. SoC03 Tambua fursa ya biashara kutoka kwenye soko la hisa na Faida ya kubadilisha Sheria ya Foreign Exchange Act ya 1992

    Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Kwa kumiliki hisa, mtu anakuwa mwekezaji katika kampuni na anapata haki za kifedha na kisera katika kampuni hiyo. Kuwekeza katika soko la hisa kunatoa fursa kwa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni na kupata faida kutokana na mafanikio yao...
  20. U

    Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu

    Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii imenifanya niandike huu uzi kwaajili ya wahitimu wa kozi za ualimu ili kupata njia mbadala za kujiajiri ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…