fursa

  1. SoC03 Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania

    Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile: Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
  2. Naomba kujuzwa hali ya maisha na fursa kati ya bumbuli (mombo) na kondoa dc

    Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)... huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto...
  3. Fursa kwenye kilimo cha nyoka, karibuni

    KILIMO CHA NYOKA Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndio suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho. Kwa mujibu wa hisabu za calculeter yng ya cm, hebu fikiria uwe na Cobra kumi, Cobra mmoja anataga Mayai 60 kwa mwezi na anatotoa. Ukichukua 60 mara kumi...
  4. Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa...
  5. R

    Miundombinu ya mjini inachangia sana fursa ya kuzini; kijijini zinaa inafanyika kwa shida sana; Hapa ndipo nguvu za kiume na kike zinapopotelea

    Mjini ukitaka kuzini ni wewe tu na pesa yako; lodge kila kona lakini pia maisha yakupanga yanakuruhusu kuzini kila unapojisikia. Hii ni sababu kubwa ya wanaume wa mjini kuona tendo la zinaa ziyo tatizo na kubweteka. Kijijini kuzini hadi uoe au uishi kwenye vichaka; la sivyo ukiwa sehemu ambayo...
  6. Makamba Ayataka Makampuni ya BIMA Nchini Kutumia Fursa Katika Sekta ya Nishati

    MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata. Wito huo umetolewa tarehe 15 Julai, 2023...
  7. Mmeziona Fursa za kusomeshwa Bure na KCB? Changamkia hizi short course nchi nzima

    Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO) Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti Mwisho ni tarehe 26 July.
  8. SoC03 Kupambana Na Uhaba Wa Fursa Za Kiuchumi Na Kijamii: Mikakati Na Hatua Za Kuboresha Maendeleo Ya Watu Na Jamii

    Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uhaba wa fursa za kiuchumi na kijamii ni changamoto kubwa kwa watu wengi, hasa katika nchi zinazoendelea. Fursa za kiuchumi na kijamii ni nafasi au hali zinazowezesha watu kuboresha maisha yao, kujifunza mambo mapya, na kuchangia jamii. Uhaba wa fursa ni...
  9. Tatizo sio Elimu Bali uhaba wa Fursa

    Nchi yetu Ina uhaba wa Fursa hata watu waliosoma skills From Vocational training , bado hawana opportunities za Kazi. So tujikite kuzalisha fursa na sio kuwapa lawama vijana.
  10. Z

    SoC03 Kijana Tambua Fursa za kiuchumi

    Fursa za kiuchumi ni Hali Yoyote Ambayo Inakupa Nafasi ya Kujipatia Kipato Cha Halali, Vijana Badala ya Kusubiri Ajira wanapaswa Kutazama Fursa za kiuchumi Ambazo zinawazunguka Vijana. Kilimo Cha Matunda,Kilimo Cha mazao ya Chakula, , Ufugaji wa Kuku, Ufugaji wa Nyuki, na Ufugaji wa Mifugo kama...
  11. Kwa Marufuku hizi za Zanzibar ni wakati muafaka wa Mikoa ya Pwani kukamata fursa ya Utalii

    Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya zilitengeneza Sheria kali sana za kodi baada ya vita kuu ya pili ya Dunia. Leo hii Zanzibar wametangaza...
  12. J

    Madini waanisha fursa kwa Wawekezaji kutoka India

    Sekta ya Madini imekuwa miongoni mwa Sekta zilizopata nafasi ya kunadi fursa zake za uwekezaji kwa ujumbe wa Wawekezaji kutoka Jimbo la Haryana nchini India. Ujumbe huo wa wawekezaji takribani 150 unashiriki katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara SabaSaba yanayoendelea jijini Dar Es...
  13. Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  14. Mwananchi anyimwa fursa ya kuuliza swali kwa kuanza swali la kusema waliosaini sio Watanganyika

    Katika mjadala unaendelea Clubhouse mwananchi mmoja ameshindwa kuuliza swali baada ya kusema kuwa waliosaini mkataba sio watanganyika ni Wazanzibar. Moderator wa mjadala, Gerson Msigwa alimtaka mwanachi huyo afute kauli yake ili aulize swali lakini mwananchi huyo alisema huo ndio ukweli hivyo...
  15. SoC03 Hizi ndizo fursa zilizopo vyuo vikuu, enyi wanafunzi wa vyuo vikuu tumieni fursa hizi kutengeneza ajira zenu baada ya chuo

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
  16. Kwa waliofanikiwa kutembea, mji upi kati ya ifuatayo ina fursa mbalimbali za biashara?

    Huu uzi ni kwa ajili ya waliofika na kutembea miji Ifuatayo, je ni mji upi unafaa kwa ajili ya kuishi na kufanya maisha? Kigoma manispaa, Kilwa-Lindi, Rufiji-Pwani, Chemba-Dodoma, Meru-Arusha kwa waliofika Maeneo hayo je ni mji upi una fursa ya kufanya maisha kwa mtaji wa kuanzia million 10?
  17. Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  18. SoC03 Utawala Bora katika Nchi za Kiafrika: Changamoto, Fursa na Mifano ya Dunia

    UTAWALA BORA KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA: CHANGAMOTO, FURSA NA MIFANO YA DUNIA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Muktadha: Utawala bora ni suala muhimu katika maendeleo ya jamii yoyote. Katika nchi za Kiafrika, suala hili limekuwa likijadiliwa sana kutokana na changamoto mbalimbali zinazokabili...
  19. Fursa za Ajira kwa Vijana Zinasaidia Kuongeza Kodi kwa Serikali

    MHE. GEOFFREY MWAMBE ASEMA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZINASAIDIA KUONGEZA KODI KWA SERIKALI "Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutupigania watanzania na Jimbo la Masasi kuhakikisha changamoto za...
  20. Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

    Wadau mimi nilikua nauliza ukisomea combi ya Hgl huko mbele kuna fursa kama zipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…