fursa

  1. Stephano Mgendanyi

    Sekta Binafsi ni Nyezo muhimu katika kuibua Mipango mbalimbali ikiwemo fursa za Fedha

    SEKTA BINAFSI NI NYENZO KATIKA KUIBUA MIPANGO NA FURSA ZA KIFEDHA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema ushiriki wa sekta binafsi chini ya ubia kati ya serikali ni nyezo muhimu katika kuibua mipango mbalimbali ikiwemo fursa za fedha za kugharamia...
  2. Mkwawe

    Fursa gani ipo kwenye Halmashauri uliyopo?

    Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua kinywa, chamcha na chajio, kubet (sababu ya msongo), kodi ya taka, hela ya ulinzi shirikishi Ankara...
  3. T

    Michikichi fursa inayoweza kuwatoa kimaisha wakulima wengi

    Licha ya Tanzania kuwa na hali ya hewa inayoruhusu uzalishaji wa zao la michikichi, uzalishaji wake uko chini ukilinganishwa na nchi zianzozalisha kwa wingi kama vile Malaysia na Indonesia. Ni kwa sababu hii Tanzania hujikuta ikiagiza karibu tani 400,000 za mafuta ya mawese ili kukidhi mahitaji...
  4. Pang Fung Mi

    Kichaa haachiwi fursa ya kufanya maangamizi-Ndugu Bernard Membe ziba masikioni, Mahakama iheshimiwe stay firm.

    Hello JF readers and family. Wazandiki na wanafiki ni wauaji, wakati hao wahuni na wadhenzi wakiandika mengi sana kuhusu senior na historical figure na more specifically a gallant and long serving stateman B. Membe, we didn't hear and see them trying hard and wisely to advise Magufuli and his...
  5. K

    Kama ningepata fursa leo ya kuonana na Rais ningemwambia yafuatayo

    Kama siku ya leo ningepata bahati ya kuonana na Mhe. Rais na kupata fursa ya kuzungumza naye, ningemwambia yafuatayo: Kwanza, ningemshukuru kwa kutoa ajira nyingi sana kwenye kada ya Afya na Ualimu lakini panatakiwa pawepo na mchakato rasmi ili kuondoa upendeleo. Ningemshauri pawepo hata na...
  6. Nyendo

    Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume hujiweka wao wa kwanza kabla yenu. Ikitokea mwanaume kapata fursa labda ya kusoma au kazi mbali na...
  7. Undava King

    Je, kuna haja sasa kwa Serikali kuajiri waonaji fursa?

    Tuna tatizo kubwa la kuziona fursa na kuzitumia si Serikali tu bali na Watu wake pia. Wananchi wanaitegemea serikali itengeneze fursa hili vijana na watu wote wenye uwezo au sifa za kuajiriwa na kujiajiri waweze kufanya kazi kwa mustakabali wa maisha yao na ustawi wa taifa. Cha ajabu level ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Vijana Tutumie Fursa za Asili Zilizopo Kwenye Kata Zetu

    MBUNGE NGASSA: "VIJANA TUTUMIE FURSA ZA ASILI ZILIZOPO KWENYE KATA ZETU" "...Vijana wenzagu nimerudi Jimboni kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri yetu, nilipokuwa naelekea Halmashauri Viongozi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya wakaniambia kuna...
  9. BigTall

    Mkuu wa Wilaya Rorya asema wana Rorya tuchangamkie fursa kupitia Ziwa Victoria

    Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77. Akizundua tawi la Benki ya CRDB eneo la mji mdogo wa Shirati leo Jumatano Aprili 5, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka...
  10. BwanaSamaki012

    The most profitable business idea (ufugaji samaki)

    Habari zenu wakuu Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza? Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka...
  11. BARD AI

    Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
  12. Kabende Msakila

    Wabunge wa Kigoma tumieni fursa - Kigoma bado imefungwa

    Wabunge wa Mkoa wetu wanafahamu kutumia fursa za kiuongozi? OMR ndiyo yenye dhamana na masuala ya mazingira nchini. Sasa Je tumeitumia vema Ofisi ya Mhe Isdory Mpango - Makamu wa Rais katka eneo hili la mazingira?? Je, Mhe Isdory Mpango (Makamu wa Rais) mwenyewe ameelekeza watendaji wake ktk...
  13. kwisha

    Fursa za kufundisha watu Kiswahili ni zenu Watanzania

    Hii fursa ya kufundisha watu Kiswahili duniani na Afrika ni kwenu wa Tanzania ninyi ndo watu ambao mnaongea Kiswahili sanifu tofauti na Wakenya pamoja na sisi Wakongo. Lakini kwenye makundi ya promote Kiswahili to the world na le swahili c'est la fierté de l'Afrique sijawahi kuona Watanzania...
  14. Engager

    Kila nikipata fursa ya kufanya mapenzi, naitumia

    Huwa sioni sababu ya kujivunga. Hayanaga tuzo. Ni kweli. Sasa kama sitofanya ndo napewa hiyo tuzo? Kama Mungu atanijaalia maisha marefu hapa duniani, nitafikia umri sitoweza kabisa kufanya mapenzi, na hata kama nikifa at young age, ntazikwa nayo na itaozea huko udongoni. Kwanini nijibane...
  15. MK254

    Jinsi Afrika inauzwa na vijana wakipata fursa: Balozi wa Zimbabwe anaswa katika genge la utoroshaji wa Dhahabu

    Ukiitazama hii video inauma na kufikirisha sana, inatia hasira.
  16. Issakson makanga

    Tanzania ndio nchi ambayo wajinga wamepata fursa ya kuongoza werevu kwa kuwa wana 'connection'

    Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi. Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha. Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe...
  17. L

    Kufungua mlango kwa China kuleta fursa zaidi kwa dunia

    Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, nia thabiti ya kufungua mlango zaidi ya China bila shaka italeta fursa kubwa kwa dunia...
  18. benzemah

    Bodaboda waelimishwe zaidi fursa za kiuchumi

    Chimbuko la bodaboda ni neno la Kingereza 'border' lenye maana ya mpaka. Baada ya Idi Amin kuipindua Serikali ya Rais Milton Obote mwaka 1971, Uganda ilikumbwa na uhaba wa bidhaa muhimu za nyumbani, hivyo kuanzia mwaka 1972 wajasiriamali wa Uganda walitumia baiskeli kuvusha bidhaa kama sukari...
  19. L

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janeth Mahawanga awahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kuchangamkia fursa

    MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga kuwahamasisha Wanawake wenzangu kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu, kuchangamkia fursa katika kilele...
Back
Top Bottom