fursa

  1. Vontec

    Fursa kwa wahitimu kutoka Vodacom (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022)

    Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022) Maelezo: Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi, jumuishi na endelevu. Kama jumuiya ya kimataifa yenye nguvu, ni roho yetu ya kibinadamu pamoja na...
  2. J

    CCM kushirikiana na cpv - Vietnam kukuza fursa za ajira nchini

    CCM KUSHIRIKIANA NA CPV - VIETNAM KUKUZA FURSA ZA AJIRA NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya CCM na Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV), kupitia udugu...
  3. GENTAMYCINE

    Sijui na London pia kutatokea Fursa ya 'Kupaishwa' kama ya Nairobi ili 'niwarembulie' zaidi na 'Macho Kungu' yangu..!!!!

    Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
  4. B

    SoC02 Vijana na samaki kwani hii ni fursa kubwa sana

    Ufugaji wa Samaki ni fursa kubwa sana kwa mikoa ya Shinyanga na Tabora kwa kutumia maji ya ZIWA victoria. --- UFUGAJI WA SAMAKI(Sato) UNAWEZA KUTATUA HALI NGUMU YA KIUCHUMI KWA VIJANA WA MIKOA INAYOPITIWA NA MRADI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA (Hasa SHINYANGA Na TABORA) Ufugaji wa Samaki aina ya...
  5. wanzagitalewa

    Kampuni 19 za Kimarekani kuangalia fursa za uwekezaji Tanzania

    DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
  6. M

    SoC02 Kilimo fursa kubwa

    KILIMO FURSA KUBWA. Chanzo cha binadamu ni uumbaji wa Mungu. ‘’Mungu akasema , Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi...Mwanzo 1:26. Na pia, Biblia...
  7. L

    Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika umeibua fursa nyingi na kuleta ushindi kwa pande zote mbili

    Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio inashikilia ufunguo wa siri za mafanikio ya kuondoa uhaba wa chakula, kuleta usalama wa chakula na...
  8. Valencia_UPV

    Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

    Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia. NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
  9. S

    SoC02 Fursa iliyobadilisha maisha yangu

    FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU UTANGULIZI Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa. Hii ni fursa amabayo inayoweza kumsaidia kijana au mtu yoyote kutoka kwenye wimbi kubwa la umasikini kuelekea kwenye safari ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
  11. Pascal Mayalla

    Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  12. Brojust

    FURSA: Event sponsorship proposal

    Salaam ndugu zangu wa JamiiForums. Mimi ni mmoja wa member katika jukwaa hili kwa kipindi kirefu sana na nimekuwa nafatilia jukwaa hili kila siku, Yaani nikifika tu ofisini jambo la kwanza ni kufungua jukwaa hili ili ku refresh mind na kupata madini kadhaa walau dk 15 then kuendelea na majukumu...
  13. K

    SoC02 Biashara ya nafaka (mahindi) nje ya nchi ni fursa muhimu, kuzuia ni kuikataa fursa ambayo ni adimu kuipata

    MAANA YA NAFAKA. Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo. Kumekua na kasumba ya mara kwa mara ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku nafaka hasa mahindi kuuzwa nje...
  14. M

    SoC02 Changamoto za Jamii, Sera, Teknolojia - ajira

    Binadamu hupitia nyakati tofauti katika maisha yake. Kuna nyakati za mafanikio na Kuna nyakati za mkwamo. Tofauti hizi za nyakati zinaonesha jinsi maisha ya mwanadamu yanavyopata mabadiliko ya hali kiuchumi na kijamii. Mabadiliko haya ni matunda ya fikra kukabili Changamoto za maisha. Kwa...
  15. KeeTZ

    SoC02 Utambuzi wa fursa zinazokuzunguka ili kujikomboa kiuchumi

    a) UTANGULIZI. Vijana wengi wa sasa nikiwemo mimi kwa muda mrefu tumekuwa tukilalama, na pengine kuilalamikia serikali kwa uhaba wa fursa zinazoweza kufikika ili KUJIKOMBOA ki uchumi, mawazo haya yameshika hatamu vichwani mwa vijana wengi wakihisi fursa ni lazima mtu akukamate mkono na...
  16. MKAKA WA CHUO 2

    SoC02 Janga la kupuuzia fursa mbalimbali katika jamii

    FURSA ni kitendo Cha kuepo au kupatikana kwa nafasi au kazi au jambo lolote ambalo linaweza kumuingizia MTU kipato. Jambo hili linaweza kuwa ni jambo kubwa au dogo, vilevile FURSA inaweza kuhusisha kazi za ofisini au kazi za mitaani, zote hizi ni FURSA kwasababu zina uwezo wa kutuingizia kipato...
  17. Matty Daizan

    SoC02 Fursa za Sayansi na Teknolojia kwa vijana karne ya 21

    Tuanzie mbali kidogo katika karne za nyuma hususani kuanzia karne ya 18 hadi ya 19 dunia iliingia katika machafuko ya kivita na biashara za utumwa. Ndani ya karne hizo pia kulitokea na mapinduzi ya viwanda yaani mashine zilianza kufanya kazi na kuibuka kwa uzalishaji mkubwa wa bidhaa na hivyo...
  18. S

    SoC02 Maisha ni fursa

    Umewahi kusikia msemo wa kiswahili unaosema “Wema hauozi?”. Inawezekana umesikia lakini inakuwa vigumu kuamini na kubaki kujiulizau maswali mengi kwamba unawezaje wema kutokuoza?. Bila mifano halisi kama huu ambao leo tunakwenda kuutafakari,msemo huo wa wema hauozi inaweza kubaki kuwa nadharia...
  19. A

    Fursa kwa vijana 240 walio hitimu mafunzo ya mifugo

    Habari kwa wote. Nimeliona tangazo la wizara toka kwa Mh. Mashimba Ndaki , ni fursa nzuri kwa vijana japo wigo umebanwa kidogo maana wamepewa wahitimu wa mafunzo ya mifugo kwa ngazi ya astashahada,stashahada au shahada kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali. Pia ni fursa kwa raiawaTanzania na...
  20. L

    Ziara ya wanadiplomasia wa Afrika mkoani Hunan, China, kufungua fursa nyingi zaidi za kibiashara na kiuchumi

    Na Pili Mwinyi China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani. Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
Back
Top Bottom