Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na mwenzake wa China Xi Jinping na kufikia makubaliano kadhaa, na kusaini mikataba 15 ya utekelezaji wa hatua za ushirikiano. Ziara hii imetajwa kuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa, na...
Utakuja Kwangu GENTAMYCINE na Mchango wako tu wa Shilingi Elfu Hamsini ( Tsh 50,000/= ) tu kisha Maelekezo yafuatayo yatafuata Kwako.....
1. Kuna Fomu utajaza aina ya Kazi ambayo utaiweza na hasa hasa ni za Uokoaji Watu wakiwa Matatizoni
2. Kisha mkishakuwa Watu 25 tu Mimi GENTAMYCINE nitakuwa...
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.
Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?
Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.
Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la...
Safari za Rais Samia Suluhu zimekua zikileta matokeo chanya kila siku lakini hii safari ya China imekua babkubwa imeleta Fursa nyingi kwa watanzania zitakazoinua uchumi wa nchi na wananchi Fursa hizo ni za kibiashara kama vile;
1. Kufungua kwa soko kubwa la usafirishaji wa maparachichi kutoka...
Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo
"Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri hasa vijana wenzangu, kila tukiamka asubuhi hebu twendeni tukajishughulishe, tubadilishe changamoto...
Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
Mkuu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Aldin Mutembei, amesema, ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaendeleza uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Profesa Mutembei amesema, ziara hiyo ya siku tatu kuanzia tarehe 2 hadi 4 itatoa fursa zaidi...
Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii.
Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya unaotafsirika: "Kasome Nchini Norway Kozi Yoyote Uliyochagua Bila Malipo kwa Muda wote wa programu"...
Tatizo la ajira kwa Vijana ni tatizo la dunia nzima kwa sasa, tatizo hili linachangiwa pia na hali ya uchumi wa dunia kwa sasa, licha ya jitihada za Serikali inayoongozwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhakikisha uchumi unaimarika bado tatizo la ajira ni...
Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza Kesho Lubumbashi
Na Innocent Mungy, Lubumbashi.
Kongamano la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji katika sekta ya TEHAMA linafanyika kuanzia kesho tarehe 18 na 19 Oktoba 2022, jijini Lubumbashi DRC likiwa na kauli mbiu ya “Kukuza Fursa za...
Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG kwa katika mikoa yetu yote Tanzania.
Vituo vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari...
Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii.
Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...
Dunia inapitia mapinduzi ya kidigitali yenye uwezo wa kuharakisha utatuzi wa matatizo katika jamii, hivyo kuwezesha watu na jamii kwa ujumla kustawi.
Teknolojia na ufikiaji nafuu wa intaneti vinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa utofauti mkubwa wa kijamii uliopo. Teknolojia na intaneti...
Leo asubuhi kupitia redioni nimesikia wakisoma moja ya Gazeti lenye kichwa cha habari kinachosema, vifuu, machicha, ungawa mbao n.k vinahitajika huko kwa wenzetu.
Sidhani kama hii ni fursa sahihi, kwa nini tusifikirie kwenye kuuza bidhaa tayari? hivi kweli bidhaa za nishati zinaweza kukosa soko...
Wadau kuna vitu kweli watu wengi sijui ni elimu au shida inakuwa watu wanapiga hela kimya kimya nimesikiliza redio moja kuna jambo wanalizungumzia nimepata mshangao mkubwa sana kwamba serikali kumbe ina utaratibu maalum kwa vijana ambao mnaweza kujiunga na kwenda kujisajiri katika halmashauri...
Siku moja niliamua kufunga safari, kwenda kutalii kwenye kijiji kimoja, ili niweze kupata hewa safi ya asili itokanayo na misitu, pamoja na mimea ya asili.
Baada ya kufika kwenye kile kijiji, nikawa nashangaa shangaa mifugo inayouzwa katika mazingira yale. Wengi walikuwa ni kuku,mbuzi, kondoo...
Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia.
Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji kidogo nimeona kadhaa na hizi ni miongoni mwa zilizotajwa sana;
Kupika kwa oda
Urembo( kusuka, make...
Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje?
Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini.
Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.