Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua kinywa, chamcha na chajio, kubet (sababu ya msongo), kodi ya taka, hela ya ulinzi shirikishi Ankara...