Habari zenu, kuna fursa nimepata nzuri sana ila sina capita ya kutosha iko ivi.
Kuna jamaa anafanya kazi kampuni fulani ya mafuta ya kupikia, yaani kiwanda kipo nchi fulani kisha Tz kuna brach yao.
Jamaa ndo anahusika na oda zote zinatoka kwa kawateja, wao hawauzi dukani, ni watu wenye maduka...