Bila shaka wale wapenzi wa michezo wa mguu tuliobahatika kuangalia soka la jana ..mtakubaliana nami kuwa mchezo wa jana ulikuwa 50/50 Kwa maana ya point ila kutokana na viungo wabunifu wa Manchester United kupiga pasi na kumiliki mpira possession kubwa Man United walimiliki mpira shida ilikuwa...
Hello bosses.
Wale wapenzi wa mchezo wa karata aina ya Arubastini nmewatengenezea hili game. Kwa upande wa LASTCARD nalo nitaliweka playstore hivi karibuni.
Download kutoka playstore (search Karata - Arubastini).
Au tumia hii link KARATA - ARUBASTINI - Apps on Google Play
Itakupeleka...
Kuna Gamer yoyote ambae ana collection ya PC games (2019 - 2020)? ninazo games kadhaa. kama tungeweza kubadilishana itakua poa. Don't tell me FIFA, GTA 5 and Call of Duty. XD
Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine!
Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
Mliambiwa nini na na hao wapenzi wenu hadi mkakubali na kwenda nyama kwa nyama..
Ulishawishi vipi hadi akakubali?
Na wewe uliyekubali hadi ukaamua ku take risk..ulipigwa sound gani!?.
Hii ni kwa wote Men and Women.
Tupeane mauzoefu.
Ilikua mwaka 2001 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ililikua Fainali ya Kombe la Castle. Stars ilishinda 3-1 dhidi ya majirani zetu Harambee Stars. Siku hiyo Stars waliupiga mwingi sana, support ilikuwa kubwa sana kutoka kwa mashabiki walioujaza Uwanja wa Kirumba.
Magoli ya Stars yalifungwa...
Kwa kwatumiaji wa Google Chrome nadhani mtakuwa mnakafahamu vizuri haka kajamaa kanakotokea wakati kukiwa na shida ya mtandao wa Internet.
Sasa leo bwana nikasema ngoja nikaguse haka kajamaa, weee si kakaruka na kuanza kukimbia. Nikajiuliza ni nini hiki mara naona vitu kama miti ya jangwani...
Kuna wakati unaweza kusoma kitu ukabaki unajiuliza mambo mengi sana juu ya mwandishi wa kitu hicho. Aliwaza nini,alipata wapi hii stori,ana akili yenye uwezo gani hadi kuandika kitu hiki. Basi ndio maswali mengi ambayo hua najiuliza juu ya huyu George Raymond Martin kutokana na uandishi wake wa...
Mashabiki wengi wa Simba wameshatengeneza mentality ya wao kushinda dhidi ya Yanga Tena kwa magoal mengi kwa kuamini Yanga ni mbovu.Me ni mshabiki wa Simba lakini kwenye derby chochote kinaweza kutokea kwa team zote mbili kitendo Cha Yanga kuaidiwa mil 200 na uongozi wao Kama wakishinda...
The Atlantis Report
End Game for The US Dollar as the Central Banks Losing Confidence in The Dollar . THE EMPIRE OF THE DOLLAR IS DRAWING IN ITS PAINFUL AGONY OF DEATH, AND ITS PATRIARCHS ARE IN THE STATE OF NEGATION OF REALITY OTHERWISE KNOWN AS THE TRUMP PRESIDENCY.
Whether or not you...
Wakuu nimeona niusogeze huu uzi karibu tuweze kupeana A-Z kwa wale wapenzi wa kucheza magemu.
Kwa upande wangu, nilitegemea nitaacha nikifikia ukubwani lakini mpaka sasa najikuta bado nipo. Nafikiri ni starehe yangu nyingine hapa duniani.
Njooni tujuane na tupeane hint mbalimbali na pia...
Kuna clip fupi imesambaa mtandaoni ya Pastor Susan Munene akiongea kuhusu umuhimu wa sex katika ndoa. Hii hapa clip ndefu zaidi ikiwa na maelekezo mengi hasa kuhusiana mambo ya ndao.
hapa chini ni baadhi tu maneno ya Pastor Susan Munene. Mimeweka full video pia hapo chini.
“Kama kuna kitu ya...
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa..
Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara.
Nilichokua nahisi...
Model: LENOVO IDEA PAD Z585
Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached)
Harddisk: 500Gb
Ram: 4Gb
Screen size: 15.6inch
Dvd slot: Available
Battery: 5hrs
Display 15''
Runs on Windows 7 Professional ACTIVATED
PRICE : Tsh 550,000 Negotiable
Call or Text 0713 985936
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.