Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES.
Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya...
Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini.
Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi...
Kwa kipindi cha hivi karibuni, tatizo la ajira limepelekea mlengo wa ujasiriamali kuwa ndio habari ya mjini. Tumesikia maneno ya hamasa kwa vijana kuingia kwenye shughuli za kijasiriamali toka kwa watu mbali mbali ikiwemo wanasiasa, watumishi wa serikalini pamoja na taasisi zisizo za kiserikali...
Naaaam..!
Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi.
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee.
Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda, akishinda utapata 167,000
u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000, UNAJUA NI KWA NINI?
Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wanachama mpaka Mashabiki wa Simba SC kuwa tuweni makini mno na hii Mbinu ya Nje ya Kisaikolojia ya Mchezo (Mind Game) inayofanywa na Yanga SC hasa kuelekea Mechi yetu nao tarehe 3 July, 2021 kwani tukienda nayo na tukaiamini na Kuwaamini Yanga SC naona Simba SC...
Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
Kwa wanaojua historia ya kandanda yetu hasa Simba na Yanga watakumbuka michezo ya akina Murtaza Dewji wa Pan African, Abbas Gulamali wa Yanga na Azim Dewji wa Simba.
Hawa Simba waliocheza robo fainali ya CAF nini kiliwatokea?
Mechi iliuzwa?
Ngachoka kabisa!
Hello 👋🏼 tech geeks!
Kwanza nahitaji kujua michezo ya karata kama last card na robo sitini (informally: alba stin) inapatikana kwenye app stores na inaitwaje. Nimeona michezo kama poker, blackjack na rummy sasa sijui ni ipi hii.
Basi kwa anayeijua hiyo michezo miwili, last card hii ya kibongo...
Bado jamani tusione kama tayari tushaingia fainali kikubwa ni kumuomba mungu pia tuingie fainali ya mashindano haya hii ya kusema Madrid nyumbani hatoki tusijipe asilimia zote kwani lolote linaweza kutokana maana Madrid ni yenye historia kubwa kuliko hata sisi kwenye haya mashindano.
Hii ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia.
“Mimi ni mkulima, ni mfanyabiashara pia kwa hiyo ninaweza kuwa na mchango mkubwa sana hata kwenye kampuni ninazoweza kufanya kazi...
Habari zenu wadau,nina simu aina ya smartphone hua kila nikitaka kudownload play store game za magari ikishamaliza mwisho inaniletea maneno haya,Open the app na sehemu nyingine ni Scan for virus naombeni ushauri wenu je hapo niminye wapi na je izo game zitakuwa salama kwa wadudu simu yangu,
Simulizi : C.O.D.EX. 1
Mwandishi : TARIQ HAJI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
C.O.D.EX. 1 ................... SEHEMU YA 1
Allen James ni jina langu, ni dereva wa taxi katika jiji moja maarufu sana duniani Los Angels maarufu kama LA. Kama kawaida mapema vijana tunaingia kazini kutafuta mapeni...
Baraza ni lile lile, CCM ni ile ile, na hata wengine wanasema Mama Samia, ni wale wale! Lakini still ni early days.
Nafikiri Mama anahitaji muda wa ku-settle kwenye kile kiti, na taratiiibu atajenga system yake! Baada ya siku 100 ofisini, mama atakua mwenyekiti wa chama tayari, atakua amewapa...
Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane.
Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima kupakaza matope taifa letu iliisha ile siku aliyokutana na balozi Wilson Masilingi. Lissu alirushwarushwa...
ANGALIZO
Nitakayoyaandika (Kuyaeleza) hapa ni Maoni na Mtizamo wangu Mimi All - Rounder na sikulazimishi uukubali bali uheshimu tu tafadhali.
PONGEZI
Nisiwe mchoyo wa Pongezi kwa Mafanikio haya makubwa ambayo kwa sasa Klabu ya Simba imeyafikia ikiwemo Ushindi wake wa jana wa Magoli 3 kwa 0 na...
Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake.
WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII
MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.