Kuna wakati unaweza kusoma kitu ukabaki unajiuliza mambo mengi sana juu ya mwandishi wa kitu hicho. Aliwaza nini,alipata wapi hii stori,ana akili yenye uwezo gani hadi kuandika kitu hiki. Basi ndio maswali mengi ambayo hua najiuliza juu ya huyu George Raymond Martin kutokana na uandishi wake wa...