nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Salaam,Shalom!!
Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha?
Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake?
Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi?
Wana...
Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa.
Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
Wakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa)
Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
----
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
ikitokea Umemleta demu ghetto ukidhani atakaa siku moja mara ghafla anakata wiki nzima, hujakaa sawa anafuata kwao mabegi na baadhi ya vyombo, mara ghafla anaanza kukuuliza mtoto wetu wa kwanza tutamuita nani?, wakati huna hata mpango wa kuoa, je utalikiambia ghetto lako au utatumia mbinu gani...
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa...
Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne.
Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake.
Mdau, je, ni jambo gani hasa, kuanzia hatua ya kutangaza nia kwa wagombea hadi mchakato mzima wa uchaguzi, unahisi...
Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?
Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake
Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
Ndugu zangu.
Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
Niliwahi kuona
Jamaa wa kwanza alikuwa na kibao Cha ubalozi wa ufilipino ndani
Wa pili ni demu ana mashuka yameandikwa PRISON ROOM 4.
Wewe ulikutana na nini?
Zunguka kote!
Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume!
Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.