Habari za Muda huu wadau,
Ukiachana na Mambo ama elimu tunayofundishwa Kliniki pindi umempeleka mwenzi wako Siku ya kwanza kliniki.
Kama Kuandaa vitu vya kujifungulia, kanga, Mpira, Nguo za mtoto, Pesa za kujifungulia na usafiri. N.k.
Ni mambo gani mengine ya muhimu ambayo unatakiwa kujiandaa...
Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v
1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka.
2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia kishingo upande.
3.Wenye roho mbaya yaani huyu ni zaidi ya mchawi ukifanya kitu kizuri tu lazima afanye...
Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi wananchi tunachoamini ni kuwa kesi hiyo ilikuwa ni ya mchongo, ya kubambikiza na ya uonevu. Lakini...
Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
Me naanza
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena
2. Kuniita boss
Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala
3 Ela za UNICEF umeziona
Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi
4 Dear nikawambie kitu
Hasa sms ukitoka jinsia ya kike Huwa najua hili ni zwazwa
5 Mwanaume...
Hi Great Thinkers.
Hii dunia imejaa distractions amabazo sometimes zinaweza kukupotezea malengo y'ako.
Sasa Kwa wale wanaojitafuta na hustlers unazani ni vitu vipi vimekupotezea malengo.yako miaka iliyopita na unahisi.ukiachana navyo unaweza kusonga mbele Zaidí. 2025.na kuendelea.
Baadhi ya...
Wakuu
Kufulia kusikie tu kwa jirani.kuna kipindi kama miaka minne imepita,niliwahi kufulia kiasi kwamba nilikosa hata mia mbovu mfukoni.nikaona mambo yasiwe mengi nikauza zangu laptop yangu ilikua mpya kabisa aina ya HP kwa bei sawa na bure ili mambo yaende,ebana nikikumbukaga hii issue najihisi...
Habari ya muda wazee Kuna mshikaji kankomba ushauri nimekosa jibu la kumpa
Yeye anamke wake ila Mimba iliharibika baada ya muda Kidogo mke jamaa akataka show wakati wa tendo jamaa aliniambia uke ni mgumu hivyo anashidwa Kabisa kupitisha uume nilitaka nimshauri atumie vilainishi(ila Sina uzoefu...
Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa.
Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na Kanisa labda wenzake wanataka arudie asili?
I guess nilikuwa na data na mwehu
Baada ya kutokuonana mwaka jana alikuja location niliyopo then akaomba tuonane tukaonana
Kwenye mazungumzo alitumia muda mwingi kusema kuwa kwamba saivi AMEKUWA MALAYA yeyote mwenye pesa anapita nae
Pia alinipa simu yake akidai nimnunulie Salio bila kutoa...
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!
Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.