gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Braza Kede

    Unatumia mbinu gani kudhibiti staff wako wasikuibie?

    Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja. Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia biashara wasikupige matukio? NB1: Chukulia unawalipa vizuri kulingana na hali ya soko, japo nayo sio...
  2. GoldDhahabu

    Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

    Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri wai ulivyowawezesha kufikia malengo yao ya kifedha! Lakini kupitia baadhi ya vitabu nilivyovisoma...
  3. S

    Umewahi kufanyiwa visa gani na mwanamke wako? Ulivikabili vipi?

    Heshima kwenu waungwana👊, Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni 😅. Mie naanza vya kwangu: 👉 Miaka iliyopita, nilikuwa nakula demu mmoja hivi wa kinyaturu. Huyu...
  4. M

    Chuo cha veta cha mkoa upi kinafundisha short course ya STEEL FIXING/USUKAJI WA NONDO?

    Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani? NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze wakuu nitalipia gharama za mafunzo.
  5. kipara kipya

    Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

    Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
  6. Jobless_Billionaire

    Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

    Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika Nimeishia kucheka tu
  7. haszu

    Hivi siku ukikutana na video chafu ya mwanao utakuwa na hali gani?

    Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine mtoto hata miaka 25 hajafikisha anakupa kadhia kama hiyo. Nawaza yakinikuta mimi nitafanye ...
  8. Lexus SUV

    Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  9. Thecoder

    Ni kitabu gani ambacho ulishakisoma na unatamani watu wengine wangekisoma pia, (recommend hapo chini).

    Wasalaam... Ni marufuku kuongea juu ya jambo lolote kabla ya kufikiri ila pia fikra haziji kwenye kichwa kisicho na maarifa juu ya jambo au mambo yazungumzwayo. Kwahiyo ili mtu apate uwezo mzuri wa kufikiri zaidi ni lazima ajiongezee maarifa ya hapa na pale ndani ya kichwa chake na njia moja...
  10. Hammer11

    Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

    Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite...
  11. Tajiri wa Babeli

    Mashabiki wa msanii Dizasta vina mje hapa mtuambie wimbo wa mwanajua unamaanisha nini?

    Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema ."walimwita mwanajua maana alijua yvote,, hakwenda shule ila aliheshimika ka mwalimu,, hata watoto walimpenda walifanya sherehe tuiobalehe alipopita...
  12. LA7

    PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua. Kama Kuna mtu anisaidie maana...
  13. G

    Aliye na sababu ya kuishi yupo tayari kuvumilia hali yoyote kuendelea kuishi, ni kitu gani kinakupa sababu ya kutaka kuendelea kuishi?

    kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k. Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa...
  14. GoldDhahabu

    Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

    Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo. Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri. Pamoja na kwamba ni jiji, lakini ukililinganisha na jiji la Dar Es Salaam ni kulionea, na ukisema...
  15. Magical power

    Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo

    Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo
  16. S

    Chaneli gani ya DSTV inaonesha Championship ya England?

    Uzi tayari
  17. Yoda

    Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga. Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi? Yanauzwa sokoni kama mboga ? Unaweza kuyapikia mlenda yakiwa mabichi(hayajakauka) kama mboga nyingine za majani?
  18. D

    KERO Hivi TANESCO mna shida gani yani siku hizi umeme unakatika na kuwaka kwa siku hata mara 10

    Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika wanawasha. Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.
  19. B

    Ni experience gani? umepitia kwenye nyumba za wapangaji wengi unakumbuka nini?

    👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama 👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni 👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima 👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo 👉Kuazima Pasi kwa...
  20. kyagata

    Pre GE2025 Hivi Tundu Lissu ni mtu wa aina gani?

    Huyu mtu bwana hana shukrani, Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau walikua wanaitana. Mara ghafla Magufuli alivyokua Rais Lissu akaanza uchokozi wa kumtukana Magufuli...
Back
Top Bottom