Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo
Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume.
Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
Leo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama.
Mwaka 2024 ulikuwa na matukio mengi sana sana, yapo yaliyoibua na kuvuta hisia na usikivu wa watu huku yakiacha maswali...
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali.
Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo.
Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi.
Wazo lako ni...
Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k.
Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k.
Kesi mahakamani
Marejesho ya Mkopo
Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.)
kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection
Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara
Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu?
Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
Salaam, Shalom!!
1. Mchawi anapokujia usiku, akijua wewe u Roho, utamwona,hupaka unga usoni kisha hunuiza maneno Fulani Fulani Ili asionekane, na nuizo Hilo huambatana na kufunika sura yake Kwa kifuniko Cha mnyama kama mbwa au paka, nyoka, ngombe nk nk.
Ndio maana utaota ukikimbizwa na nyoka...
Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani
Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu
Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
Msaada wa haraka tafadhali!
Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k.
Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje?
1...
Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet
Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa nimepewa jini kijanja, maana napata hela, sijui zinapo ishia
Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri.
Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Pia naomba kuuliza.
Parachichi
Apple
Ndizi mbivu
Wali
Ugali
Nyama
Maziwa mtindi
Maziwa fresh(boxed like asas and first choice)
Wine.
Mayai ya kukaanga au kuchemsha
Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa?
Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges.
MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
Msaada wenu tafadhali!
1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba?
2. Nauli yake ni shilingi ngapi?
Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama elfu ishirini za Kitanzania, japo walinianzia shilingi za Kiganda 40,000 lakini nilibargain hadi Ush...
Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF.
Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na kupesti tabia za BRAZA CHOGO na BICHWA KOMWE - .
Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya siasa wengine wanaotajawa katika hizi stori ni viongozi wa juu kabisa.
Hivi kiuhalisia serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.