Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
Ni vingi lakini hivi ni baadhi,
-Mmasai albino
-Mwanajeshi albino
-Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta)
Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito :D
-Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?
Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?
wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha.
elimu yangu nina bachelor ya economics and statistics (Baest tangu 2019) upande wa familia nina mtoto mmoja ,shughuli yangu...
Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti.
Karibuni wakuu.
Kwanza nikili kuwa Kila mtu ana Tunda/chakula chake anachokipenda au anatamani ale Kila siku.
Ni vyema Kila mtu ataje ikiwezekana kwa picha Aina ya chakula/Tunda hilo
Halafu tutakuambia Lina faida gani kwenye mwili wako.
Kariba.
Tunda hili ni staferi pamoja na Topetope.
Faida zake
Papai...
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Aise, nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali humu, nilizo shuhudia kutokana na mahali nilipoishi. Currently, I'm an online man, nimepitia maisha mbalimbali kuanzia 2011 hadi sasa. Ila kila ninapoandika Uzi, kuna watu nawaita people with low IQ. Mara nyingi nasema, if you don’t have facts...
Nahitaji kuonana na dr specialist wa masuala ya uzazi wa wanaume(andrologist). Lakini nimeshindwa kujua naweza kumpata katika hospitali gani...! Mwenye kujua msaada wandugu
Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂
Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂
Anyway,
Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
Karibuni wakuu,
Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
Haya mataifa yaliyotengeneza silaha za nuclear walizitengeneza za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Wanakaa nazo kama mapambo tu?!
Huwa nasikia baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema Marekani/West isifanye hili au lile kwa sababu Russia, China au Korea Kaskazini itatumia silaha zake...
Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu
Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu
Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja...
Nimedondosha simu kioo kimepasuka, nimehamisha mafaili fasta kabla wino haujajaa
Bei ya kioo ni shilingi laki 4
Tukio kama hili ni mara ya pili, mara ya kwanza niliweka simu kabatini mwezi mzima nilikuwa natumia kitochi
round hii nimeona bora nibadili simu maana simu itanifilisi kipato changu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.