Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa
Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu
Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda
Natamani asome
Cyber security
Computer engineering science
IT and accountancy
Micro biology
Naomba ushauri wako
Benson
Civic C
history C...
Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k.
Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k.
Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara
Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na hufanya vifaa visipate umeme wa kutosha,mfano taa zinafifia
Habari wana JF,
Naomba nijikite katika hili hivi" kuna siri ipi ya mafanikio juu ya kijana alielelewa na mzazi mmoja hasa mama"? Nimeona watu mashughuli wengi , wana siasa, wafanya biashara wakubwa, wana muziki kama vile Diamond na wengine wengi wamepata mafanikio lakini wakitoa historia yao...
Wakati mwingine, unapokuwa unajiandikisha au kuwasilisha taarifa zako sehemu fulani, ni muhimu kuuliza jinsi taarifa zako zitakavyotumika. Hii ni ili kuhakikisha kuwa unaelewa madhumuni ya kutumia taarifa zako, na pia kujua kama kuna hatari yoyote ya usalama au faragha inayohusiana na matumizi...
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito
ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda
Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
Umuofia kwenu,
Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo.
Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
Mwaka huu wa uchaguzi vyama vya siasa vishindane kwa hoja za msingi, CCM wakileta propaganda za kitoto na za kishamba kama za 2005 na 2015 wataaibika sana.
Kamati ya CCM ya mipango ya kimedani ijieupushe na propaganda zenye utoto na za kizamani, CCM iweke bayana ni wapi ni ukurasa gani wa ilani...
Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu...
Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana…
Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana mimi ni mchepuko wake
Oya kuna Kijana mmoja baada ya kuwa na kutokuelewana sana kati yetu...
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.
Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.
Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.