Habari wakuu
Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active.
Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani ya ATM ananiambia chagua lugha, me hapo hata sijui wanabonyeza wapi, akanionesha zile button za...
Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
Video hiyo hapo chini, inaonyesha msafara wa magari ya kivita yenye urefu wa kilometa 6, ukiangalia huoni mwisho. Ni jeshi la nchi gani hili?!
https://www.instagram.com/reel/DFiC5DAtOZF/?igsh=MXR2cXIzNDI0NDR2eQ==
Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
Niaje waungwana,
Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote.
Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo...
Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na madikteta wengi sana. Kwa kweli roho imeniuma sana viongozi wanaoaminika na kupewa madaraka na badala...
LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer.
Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali namba ya simu ambaye kimsingi nilishaipoteza so kama hata kutumiwa link zingeenda kule kwenye hiyo...
Ndugu zangu nipo mahali ambapo sina mtu wa kumuazima pesa. Naombeni msaada ni app gani mzuri na haraka kwa mikopo na ya uhakika?
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Habarini wakuu!
Hakika miaka inakwenda. Miaka ya nyuma, magazeti yalikuwa na mvuto sana kuanzia front pages hadi ndani. Yalikuwepo magazeti mengi sana ila Binafsi nilikuwa mpenzi wa magazeti ya Sani na Kiu.
Hao jamaa walikuwa wabunifu sana, kurasa za mbele zilipambwa kwa picha nzuri za mastaa...
Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi
Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
Habari wakuu,
Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani?
*Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo.
PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.