gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. kipara kipya

    Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  2. Joanah

    Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu Uzi tayari Pia soma...
  3. Ben Zen Tarot

    kiwanda cha bia TBL kuna tatizo gani?

    bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani? Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana? uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
  4. B

    Mkutano wa Uchaguzi ulijaa Raia kutoka Asia ya Mbali na Uchina. Hii ina maana gani kwa siasa zetu?

    Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo. Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine. Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
  5. OMOYOGWANE

    Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani kitaalam, kienyeji huku wanaita "kajembe"

    Hellow wakuu, Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne, Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat" Mapigo yake ya moyo yapo juu 100 beats per second Hii ni ya miaka mibgi. Analalamika kifua kibana na maumivu...
  6. Christopher Wallace

    Tujikumbushe: Hii ni movie gani?

    Tupe maneno mawili matatu kuhusiana na movie hii.
  7. mdukuzi

    Tundu Liisu atatumia mbinu gani kushawishi watu waandamane, Watanzania wa kizazi hiki ni waoga sana

    Nimemsikia akisema No Reform,No Election, Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima. Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi? Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano...
  8. A

    Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

    Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
  9. Superficial

    Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  10. W

    Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  11. L

    Hivi ina ulazima gani?

    Hebu tuambiane jambo/mambo ambayo hayana ulazima kwenye mchakato wa kutongoza. Jamaa yangu ametengwa na wanaume wenzake hapa mtaani kwa tabia yake mbovu ya kutongoza wake za rafiki zake. Huku wakijua ni rafiki Yao wanamsimulia matukio muhimu ya michepuko waliyonayo. Jamaa akitoka anaenda...
  12. Gulio Tanzania

    Ndoto ya kuota kesi inamana gani?

    Habari zenu wadau Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi Ndoto ya pili nimeiota Leo hii Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za...
  13. Mama Mwana

    Channel Ten plus mna matatizo gani?

    Hello guys!! Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini. Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi...
  14. I

    Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

    Mko vizuri wakubwa? Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato? Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing...
  15. yello masai

    Kwa laki 3.5 Ninunue simu gani?

    Wakuu nina 350k. Naomba ushauri wenu ninunue simu gani kwa hela hii. Simu inayokaa na chaji na ina designe nzuri pia isiwe single line.
  16. R

    Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
  17. OMOYOGWANE

    Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

    Habari wakuu, Picha hapo juu inajieleza, Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima. Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu Hana rekodi...
  18. mdukuzi

    Ni mstari gani wa kwenye biblia ukiosoma unaona unamfaa Dk Bashiru Ally Kakurwa

    Zab23 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa. Yeremia 17:5 Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
  19. Tundazuri

    CM trading ni kitu gani

    Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300. Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya usajili, basi nikapigiwa simu kutoka SA. Kumbe zile information walikuwa wanaziona. Yule mtu alitaka...
Back
Top Bottom