Natumai wote n wazima wa afya…
Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?
Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model..
Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
Habari za jioni wanajukwaa;
Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni.
lakini nikakumbuka siku za nyuma...
Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna mkataba nazo Dar es Salaam. Ukichukua gari yenye thamani chini ya 20m TZS unachukua chenji yako...
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya.
Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano...
Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari.
Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA.
Gari imeshushwa 120,000Km
sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo.
inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa...
Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo.
Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni...
Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata...
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi.
NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana...
Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari
Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu
Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa!
Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1.
Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
Hummer ni chapa ya magari ambayo ina asili katika magari ya kijeshi ya Marekani yanayojulikana kama Humvee (High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle). Historia ya Hummer ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1980 wakati kampuni ya AM General, ambayo ni tawi la American Motors Corporation (AMC)...
Habari ndugu wana jamii forum, gari yangu aina ya nissan duals nmebadili plug juz tu,ila naona utofauti baada ya kubadili kwan gari kuna saa kama inashtukashtuka hivi kitu ambacho mwanzo hakikuwepo naomba mwenye kujua original plug za nissan duals anisaidie maana hawa mafundi wetu wanatuingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.